makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,861
- 104,011
Naona sober ulitupeleka weye..Hahahaaa........mmefuta uteja wa siku nyingi.

Naona sober ulitupeleka weye..Hahahaaa........mmefuta uteja wa siku nyingi.

Wenger ni mzembe sana juu ya kuwapa nafas wachezaji wapya.. Tumeona kwa wengi kasoro wachache wenye bahat zao, na hii hajui tu, inashusha morali ya mchezaji.. Ila lucas alipata majeruhi hapa kati hata game ya juzi hakuwepo benchi kabsa ila naskia game ya swansea atakuwa available.Morning@Gurners...!!!!,naombeni kufahamu kwanini Wenger hamchezeshi Lucas perez kama first eleven..???, je ni kiwango chake kidogo ukilinganixha na ukubwa wa timu au fans tutegemee nn hasa kutoka kwa huyu streiker...????
Hahhaaa ndiyo maana yake .Naona sober ulitupeleka weye..![]()
![]()
Hamna kitu hapo. Watakaa tu. Swansea wana record nzuri kushinda ile CHELSEA?Kesho Arsenal wana kibarua kizito vs Swansea City ndani ya Emirates. Swansea City ina rekodi nzuri vs Arsenal hivi karibuni.
Unadhani ni rahisi kihivyo sio? Kumbuka Burnley walitutoa kamasi mechi iliyopita, na ukumbuke Swansea wana wachezaji wazuri kuliko Burnley.Hamna kitu hapo. Watakaa tu. Swansea wana record nzuri kushinda ile CHELSEA?
Kesho arsenal anachezea kichapoKesho Arsenal wana kibarua kizito vs Swansea City ndani ya Emirates. Swansea City ina rekodi nzuri vs Arsenal hivi karibuni.
Huku unasema arsenal anachezea kichapo, afu kwenye mkeka unasema arsenal anashinda 2Kesho arsenal anachezea kichapo
Kwa hiyo Chelsea ilikuwa rahisi kiivo?Unadhani ni rahisi kihivyo sio? Kumbuka Burnley walitutoa kamasi mechi iliyopita, na ukumbuke Swansea wana wachezaji wazuri kuliko Burnley.
Kesho Arsenal wana kibarua kizito vs Swansea City ndani ya Emirates. Swansea City ina rekodi nzuri vs Arsenal hivi karibuni.
Acha kumbwela mechi tunashindaUnadhani ni rahisi kihivyo sio? Kumbuka Burnley walitutoa kamasi mechi iliyopita, na ukumbuke Swansea wana wachezaji wazuri kuliko Burnley.
Kunawatu wanapenda an kuombea dua LA kuku inapofikia mwewe kuchukua kifaranga chake hana budi kujitwalia ndio hii ya kuombea arsenal ichapwe .Huku unasema arsenal anachezea kichapo, afu kwenye mkeka unasema arsenal anashinda 2