Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

true majeruhi huwa yana tucost sana vile yahana garant,carzola akiumia nae jee,
Ndio maana huwa nashangaa shabiki akisema Coquelin, Ramsey na wengine waendelee kuwa majeruhi ili Xhaka, Elneny etc wacheze. That's very wrong, wanatakiwa kuwa fit 100% ili wapiganie nafasi. Wakipigania nafasi ndio tutapata 100% commitment ya wachezaji wote.

Tunataka Le Coq, Ramsey, Merts na wengine wote wapone. Tutapata the best team na hata uchovu utapungua coz kutakuwa na rotation kwenye games.
 
Get a life. Atapata nafasi,
Ndio mashabiki tulivyo, ligi ndio imeanza tunataka kila mtu acheze. Juzi nikasoma wengine wamefurahi Me Coq kuumia ili Xhaka acheze, hatujui kuwa timu ikianza kuwa na majeruhi inaikosesha balance, matokeo yake utakuwa na wachezaji watano majeruhi na kupunguza competition
 
Back
Top Bottom