
na leo tuonane next time.....Ya Gunners 

Wewe kama mimi aiseeYeah ni kweli, ila naomba Ramsey asipone kabisa

WordBado mapema mno kuona tutaishia wapi, kila mwaka twashindwa kummaliza ng'ombe, kale ka mkia kanatushinda, wengine tuko kimya tukiangalia na kuona tutafanikiwa au la, ila.....
COYG
AtachezaPerez kamkosea nini uyu mzee?
wache wafurahi maana kilio kinakuja soon.Nyie Goobers mna mihemko kama Juma Pumba Maharagwe!!!
true majeruhi huwa yana tucost sana vile yahana garant,carzola akiumia nae jee,Hatutaki hata mmoja awe majeruhi, tunataka AW apate headache ya kuchagua kikosi bora kila mechi. Ukisema ni bora Le Coq awe majeruhi unakosea sana. We need all players fit kila mechi kiongozi.
shukrani,we timu yako iphongereni.......