wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,171
- 1,129
[emoji3][emoji3][emoji3]Ndo ulichoona tu watu mnakosa kaz nahic we ni wa mourinho
[emoji3][emoji3][emoji3]Ndo ulichoona tu watu mnakosa kaz nahic we ni wa mourinho
kwa sasa keshaiona njia hawezi kuvurugika shida inakuja kwenye majeruhi ndo shidaLete raha babu...usivurugwe...
December ndio mtihani wetukwa sasa keshaiona njia hawezi kuvurugika shida inakuja kwenye majeruhi ndo shida
hamna jinsi itabidi tukaze ili tunyanyue kwapa nasi tumesemwa sanaDecember ndio mtihani wetu
Labda uumwe na chawa ndo utanyanyua kwapa ...vinginevyo utasubiri sana bwa mdogohamna jinsi itabidi tukaze ili tunyanyue kwapa nasi tumesemwa sana
[emoji3][emoji3][emoji3] basi msimu huu wenger atakufa na mtuLabda uumwe na chawa ndo utanyanyua kwapa ...vinginevyo utasubiri sana bwa mdogo
Wenger lazima afe na mtu tangiepo ata km hatochukua ligi, ila kuna kocha hatomaliza top 4 sa mimi nawewe hatujui, je ni mou, klop, pep, conte[emoji3][emoji3][emoji3] basi msimu huu wenger atakufa na mtu
basi tusubiri wakati utaongea ila naona wepesi kwa wenger kazi inamuwia nyepesi vita mou na pep itamrahishia kazi le professor kujiokoteaWenger lazima afe na mtu tangiepo ata km hatochukua ligi, ila kuna kocha hatomaliza top 4 sa mimi nawewe hatujui, je ni mou, klop, pep, conte
Kwenue hii list.. Conte anahusika.Wenger lazima afe na mtu tangiepo ata km hatochukua ligi, ila kuna kocha hatomaliza top 4 sa mimi nawewe hatujui, je ni mou, klop, pep, conte
fouth round reading at emirates stadium oct 24
Ndio safi![]()
Kuna majamaa itabidi yapunguzane.
Tutawafunga kwa advantage ndogo tuChelsea wana wasiwasi leo wanajua 3-0 lazima wapigwe leo.
ShInda kwanza leo ndio uje kwa mabingwa huku