McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Dah! maana vijana wanakiputa aisee.
Hii game imenipita ingawa magori kuna mwana kanitumia.
Dah! maana vijana wanakiputa aisee.
Kombora#kombolaKombola hatari sana
Kombora#kombola
Tatzo la wenger hachelew kuvurugwa na joto la game..Arsenal tunakimbiza mwizi kimya kimya
tukimkalisha chelsea itakuwa poa sana
Tunaukumbuka![]()
Wakuu mnakumbuka usajili wa Sol Campbell kutoka Tottenham Hotspurs kwenda Arsenal mwaka 2001?
Daaah unanichekeshaga man na hizo pweza staff zakoDuh nimelicheki hili goli hapa naona pweza kanyumbulika tena Kawe na Kimanzichana.
Tunaukumbuka
Hilaitatokea wasahau sio mchezoTottenham hawatamsahau jamaa.