Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

yaani mpaka dakika ya 98 ndio mnafunga timu iliyo mkiani na yenye wachezaji 10 kwa more than half of the game?!
 
si unaona mashuti yanasaidia ,wao wanataka pasi tu kila saa mpaka kwenye box.

point 3 muhimu hizi safi sana.

fabregas na songggg rudiniii sasa tumalize kazi manake noma.
 
yaani mpaka dakika ya 98 ndio mnafunga timu iliyo mkiani na yenye wachezaji 10 kwa more than half of the game?!

Hahahahahahaha ushindi ni ushindi bwana kama Refa kaona kuna dkk 6 zilizopotea ni lazima aziongeze. Hebu kuwa mwanamichezo utoe pongezi hata siku moja....badala ya kusagia tu. Kumbuka asiyekubali kushindwa si mshindani.
 
ingekuwa tumefunga nje ya hizo dakika ndio noma,lakini hizo dakika si ndio refa kachezesha? na wao si walikuwa na nafasi au?
 
Kukaa kimya sometomes ni busara mkuu...Kumbuka hii ni EPL siyo ligi kuu ya VodaCom,kama ndo hivo nadhani ninyi Chelsea mngetangaza ubingwa kitambo tu...

Najua ushindi huu unakuuma sana...hakuna jinsi...lol
 
Mbona wewe hujatoa pongezi kwa Chelsea? Au pongezi wanapewa Arsenal tu! OK, hongera zenu wakuu..lol...hahahaha
 
Ushindi huo hauniumi maana bado naongoza ligi with game in hand! Kazi iko kwenu ninyi mnaofukuza.
 
yaani mpaka dakika ya 98 ndio mnafunga timu iliyo mkiani na yenye wachezaji 10 kwa more than half of the game?!
We unasoma ile clock kwenye tv but ile ya refa ni tisini tu za mchezo. best tumezichua zetu tatu mwendo mdundo!
 
ingekuwa tumefunga nje ya hizo dakika ndio noma,lakini hizo dakika si ndio refa kachezesha? na wao si walikuwa na nafasi au?

Achaneni na jirani yetu Peasant...mwenzenu ana kimuhemuhe cha kuwa huenda akanyang'anywa tonge mdomoni...Ndo maana hataki kutuona tukishinda hata kidogo....Shhhhhhhhhhhh,tushangilie kimyakimya basi
 
Hhahaha tuko fit, umeona game ya leo tuliyompa mtu 4-1? Na kama sio Zola tungewapa 8-0...lol
 
Hongereni Gooners wote, ilishakuwa tricky leo, ni vyema vijana wamemaliza kazi mwishoni, lakini inatakiwa hizi biashara wazimalize mapema kabisa!!
Tunachungulia pale juu kwa kasi, adui yako mwombee njaa hapo kesho!!
 
Mbona ManU akishinda kwenye dakika hizo mara nyingi mnatoa vilio?!

Sasa Peasant wewe huoni kwamba kulikuwa na matukio yaliyochukua muda bwana,kuna Penalty ya Hull,kuna Red card ya Boateng....Hata hivyo goli halijafungwa dakika ya 95 wala 96,limefungwa kati ya dakika YA 92 na 93...So hata kama angeongeza dakika 3(ambazo mara nyingi huwa hazikwepeki) tungeshinda tu....Ingekuwa tumefunga dakika ya 96 au 97 kama Man Utd ile game na Man City tungekubaliana....ndo hivo pointi 3 saaaaaaafi.......kimyakimya mpaka kileleni....lol
 
Hongereni jamani nilikuwa kwenye pilika pilika lakini kuna kitu lazima sasa tufanye cha kusheherekea ushindi maana naambiwa refa leo alikuwa noma sana jamaa wa Chelsick na Manure walitoa kitita cha uhakika leo hii ili kuwakwaza wana Emirates lakini magoli hayakuweza kukataliwa kwa sababu ingekuwa noma. Yule mshenzi kibendera bandia nitawapa jina lake lakini hizi zote ni katika purukushani ngoja kwanza tuone nini kimejiri.

More to come ... ...
 
Mbona wewe hujatoa pongezi kwa Chelsea? Au pongezi wanapewa Arsenal tu! OK, hongera zenu wakuu..lol...hahahaha

Haya mkuu ngoja nipite nyumbani kwao nikawape pongezi akina Invisible, Masanilo & Company. Ahsante sana kwa pongezi zako. Kesho naona mna karamu ya kapu la magoli na Fulham.
 
Kukaa kimya sometomes ni busara mkuu...Kumbuka hii ni EPL siyo ligi kuu ya VodaCom,kama ndo hivo nadhani ninyi Chelsea mngetangaza ubingwa kitambo tu...

Najua ushindi huu unakuuma sana...hakuna jinsi...lol

At least mmeanza kukubali kwamba hakuna mechi rahisi. Ni ninyi Arsenal ndio mlikuwa mnapuliza tarumbeta la "tumebakiwa na match rahisi zote, ubingwa ni wetu mwaka huu" The bubble nearly went bust today!
 
Back
Top Bottom