Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1472588259950.jpg
 
Nakubali sijui, sijawahi kumwona akicheza hata hivyo stats zake na umri wake pia ukiangalia video uchezaji wake haupo tofauti na Podolski. Kitu kingine amecheza katika La liga ambayo ipo tofauti sana na PL ambapo mchezaji hapewi nafasi ya kuwa na mpira kwa Zaidi ya sekunde 10. Utakuja kusikia watu wakimpiga madongo kama wanavyofanya kwa Giroud.

Giroud anahitaji sana changamoto likianza zoezi la kugombea namba utanielewa nini namaanisha na utakua shahidi kua nafasi anazozipoteza Giroud zinamhitaji mtu mwenye umakini mdogo tu ili ku-convert liwe goli na eneo la kiungo liko vizuri ivyo mtu wa mwisho anatakiwa awe na umakini kufanya kitu mimi ujio wa Perez nimefurahi sana ataleta kitu kipya kwenye squad.
 
Anasema lazima jamaa awe Podoski?

ukitoa kuwa Podoski alikuwa anajua kufunga ila podoski alikuwa "LAZY" na hakuwa na "SKILLS" ya ziada katika mpira wake....hilo limesemwa na kila football experts ujerumani alikwenda BAYERN na akaishia Bench na Kuuzwa

Kimsingi Podoski ni mchezaji ambaye hakuwa mtu wa Kujituma na hata akijituma hakuwa na Ujuzi wa ziada mambo yakikataa

JE mfano akiwa Finisher kama Eduardo? kabla ya Kuvunjwa Mguu? au Michu wa Swansea? Au Jose Antonio Reyes kabla hajaugua Ugonjwa wa kutaka Kurudi Spain?

ambao,hawa wote kimsingi walikuwa LEFT FOOTED na Walikuwa na Kasi na Vision ya Goli na wawili walitoka La LIGA mmoja alitoka Croatia..

chances ambazo Arsenal wana Create

kwa mchezaji mjanja na Makini anaweza kufunga akawa Tishio
 
Kaka umeongea maneno ya kimpila mpaka nimesikia raha emb fikiria nafasi anazo create ozil na sanchez tu yaani daaa watu hawalioni ilo
 
Kaka umeongea maneno ya kimpila mpaka nimesikia raha emb fikiria nafasi anazo create ozil na sanchez tu yaani daaa watu hawalioni ilo
Watu walikuwa Negative kwa sababu ya kutokusajili kuziba Nafasi ambazo zilipaswa Kujaziliziwa mainly CB na CF

arsene na ubishi wake woote safari hii kanunua hata ikiwa Ni presha ilianzia kwa Fans lakini Hatuna Excuse ya kusema kikosi hakijakamilika....

So why mtu anakuwa Persimistic/Negative? hata sijui kwanini

Jambo ambalo mtu anaweza kuniambia na Kuhofia kwa sasa sio Kikosi bali ni

TACTICS ZA KOCHA, INJURY CURSE, MOTIVATION within a team

haya mambo matatu yana mchango mkubwa sana kufanikiwa baada ya kuwa una kikosi kizuri
 
Kama kuna kipindi uliona ujio wa sanchez na ozil viliinua hamasa sana kwa vijana sasa nafikiri tutarudi uko maana mentality ile itarudi tuu utajionea kama matokeo yaliyotokea na river ni yale broh tunaekekea kuzuri kwa hii new signings sabu tunaanza kutimia kama timu flani yenye tija kwenye ligi.... Alhamdulilah
 
Wenger pays right money to the right player, hakika safari hii katika usajiri wake me naona kalenga vizuri sana japokuwa hatujapata strika hatari ambae uwezo wake unajulikana ila sina shaka na wenger katika ku transform mchezaji wa kawaida kuwa mzuri, kwa ss arsenal ina kikosi kikubwa na kipana sana
 
Sijasema jamaa lazima awe kama Podolski nilimaanisha staili yake ni kama Podolski. Sidhani jamaa kama ni improvement kwa Giroud kama wengi mnavyotegemea. Ukiangalia historia yake kafunga hayo magoli 17 sijui 18 mara 1 (msimu uliopita) miaka yote alikuwa ni chini ya magoli 17. Watu mnapenda kuaminishwa na kila kinachosemwa na so called pundits.
 
Transfer deadline day: Top 10 deals to look out for
_90327002__64086311_phil-mcnulty_203x152.jpg

By Phil McNulty

Chief football writer

_90960427_tdd.jpg

The transfer window closes in England at 23:00 BST on Wednesday and already the rush has started to get the last-minute deals in place - with clubs and players attempting to secure their immediate future.

Manchester United's £89m deal to bring France midfielder Paul Pogba back to Old Trafford from Juventus set a new transfer record and millions more will be spent around the Premier League before the close of business.

So which players are worth keeping an eye on as the seconds tick down to the end of this summer's transfer dealings?

1. Jack Wilshere (Arsenal)

Wilshere's exclusion from England's squad to face Slovakia has focused his mind - and after only 141 minutes of action last season, a poor Euro 2016, and just 37 minutes as a substitute this season it is time for a fresh start.

There is no way Arsenal manager Arsene Wenger will let the 24-year-old midfielder leave permanently as he remains potentially one of England's finest talents, but he simply has to have games and there is no sign of him getting them for the Gunners at present.

There will be no shortage of phone calls on this one - but be sure both Wilshere and Arsenal will be choosing his next club carefully. A move abroad is possible.

Potential destinations: Valencia, Roma, Juventus, West Ham United, Crystal Palace, Southampton, Middlesbrough.

2. Moussa Sissoko (Newcastle United)
_90959764_moussasissoko_rex.jpg

Could the Magpies' £35m asking price for Sissoko be a sticking point for potential buyers?
The 27-year-old had an outstanding Euro 2016 as hosts France reached the final, only to lose to Portugal - and he has spent the weeks since making it clear he wants bigger and better things than a stay in the Championship with Newcastle United.

As yet, no firm offers have materialised with potential buyers put off by Newcastle's £35m price tag for the powerful box-to-box midfielder.

This may be a case of "buyer beware" with potential suitors unsure about whether they are getting the player who starred for his country in the summer or the one who was abysmal as his club were relegated from the Premier League last season.

Sissoko, however, is a real talent and expect more interest before deadline.

Potential destinations: Juventus, Inter Milan, Everton, Spurs, Crystal Palace, West Bromwich Albion.

3. Saido Berahino (West Bromwich Albion)
_90962115_saidoberhahino_rex.jpg

Baggies boss Tony Pulis says Saido Berahino will only leave if there is an "unbelievable offer" on the table
It's that time of the year again - will Berahino stay or go?

The 23-year-old appears to have been standing by the exit door at West Brom for 12 months after his infamous tweet saying he would never play for Baggies' chairman Jeremy Peace again after a move to Tottenham failed to materialise.

Once again there was talk he was making his farewell appearance when he came on as a substitute against Middlesbrough on Sunday - but tweets from a holiday and another saying he is looking forward to playing with new West Brom signing Nacer Chadli suggest he is staying put again.

Potential destinations: Stoke City, Crystal Palace.

4. Lamine Kone (Sunderland)
_90962372_laminekone_epa.jpg

Lamine Kone's possible move to Everton may be a no-go as Sunderland boss David Moyes struggles to find a defensive replacement
Sunderland manager David Moyes personally vetoed an £18m bid from Everton for the powerful central defender, who has been outstanding since his £6m move from Lorient in January, despite the Ivory Coast international being keen on the move.

The Toffees remain interested and will try their luck again - and will perhaps hope Moyes relents as deadline approaches.

And, as they struggle to sign a central defender, might Chelsea even be tempted?

Potential destinations: Everton, Chelsea.

5. James McCarthy (Everton)
_90962110_jamesmccarthy_reuters.jpg

McCarthy (right) has told Everton officials he wants to leave Goodison Park to find regular football
Everton manager Ronald Koeman insists the 25-year-old Republic of Ireland midfielder is not for sale but rumours persist that he will leave Goodison Park if they get an offer of around £20m - or can perhaps be used in another deal, for Moussa Sissoko perhaps.

McCarthy's stock has fallen after a fine first season at Everton as his place as Gareth Barry's midfield partner has been taken by summer signing from Aston Villa Idrissa Gueye, who has made an outstanding start.

He will not want to spend time on the sidelines - and he appears expendable if Everton need leverage in the market.

Potential destinations: Crystal Palace, Sunderland, Newcastle United, Leicester City.

6. Wilfried Bony (Manchester City)
_90962108_wilfriedbony_rex.jpg

West Ham manager Slaven Bilic has expressed an interest in signing Manchester City forward Wilfried Bony
The 27-year-old Ivory Coast striker has had a miserable time at Manchester City since a £28m move from Swansea City in January 2015.

Bony clearly has no place in new manager Pep Guardiola's plans, his bustling, goal-poaching style at odds with the fluid, sharp passing now demanded at Etihad Stadium.

This does not mean Bony would not be an attractive proposition after proving he could get goals in the Premier League at Swansea.

Potential destinations: Stoke City, West Ham United, Everton.

7. Mario Balotelli (Liverpool)
_90962370_mariobalotelli_2_rex.jpg

Mario Balotelli was signed by former Liverpool boss Brendan Rogers from AC Milan for £16m in 2014
The end of one of the most ill-judged ventures into the transfer market in Liverpool's history is coming to a close - with Balotelli surely on the way out after just four goals in 28 appearances since his £16m move from AC Milan in August 2014.

Balotelli's loan back at AC Milan last season did not work out and he has been trawling the market looking for a move all summer after Reds boss Jurgen Klopp made it clear there was no way back at Liverpool.

Nice in Ligue 1 looks his best option but there is always the possibility of a last-minute surprise and Palermo have also been linked with an interest in taking him back to Italy.

Why always him?

Potential destinations: Nice, Palermo.

8. Samir Nasri
_90962376_samirnasri_2_getty.jpg

Nasri could enjoy Champions League football if he was to join Spanish side Sevilla
Nasri is another player who appears destined to be on the outside looking in at Pep Guardiola's brave new world at Manchester City.

The 29-year-old, who made an appearance as a substitute in Sunday's 3-1 win against West Ham United, is gifted but inconsistent and Guardiola is looking elsewhere for his midfield options.

Nasri still has a fine reputation, though, and there has been strong interest from La Liga with Sevilla, who can offer Champions League football after winning the Europa League final against Liverpool and Besiktas in Turkey.

Potential destinations: Sevilla, Besiktas.

9. Islam Slimani (Sporting Lisbon)
_90970011_islam_slimani_getty.jpg

Slimani has been at Sporting since 2013 and has scored 31 goals in 46 games for the club
The powerful 28-year-old Algeria forward appeared to be saying his farewells to Sporting Lisbon after he left the pitch in tears at the end of the meeting with Porto at the weekend - and Leicester will hope he has.

Slimani, an international colleague of Foxes forward Riyad Mahrez, has scored 33 goals in 44 games for Sporting since the start of last season and Leicester see him as a perfect addition to an attack also containing England striker Jamie Vardy.

The Portuguese side will be driving a hard bargain for one of their prize assets, however, and have no intention of budging from a valuation of around £35m.

Possible destinations: Leicester City.

10. Mamadou Sakho (Liverpool)
_90962112_mamadousakho_rex.jpg

Stoke City are reportedly keen to take out-of-favour Liverpool defender Mamadou Sakho on loan
Sakho's Liverpool career has taken a nosedive, with manager Jurgen Klopp telling the defender, who was sent home early from the club's tour of the United States for indiscipline, including interrupting the German while he was conducting an interview, he can go out on loan.

The 26-year-old is free to resume his career after allegations he failed a dope test last season were dismissed - but it will not be at Liverpool.

Sakho has already turned down loan moves to Stoke City and West Brom, but such is Liverpool's insistence that he needs to move to get games that a revival of these offers before the deadline cannot be ruled out.

Potential destinations: West Brom, Stoke City.

Take part in our new Premier League Predictor game, which allows you to create leagues with friends.
 
Sijasema jamaa lazima awe kama Podolski nilimaanisha staili yake ni kama Podolski. Sidhani jamaa kama ni improvement kwa Giroud kama wengi mnavyotegemea. Ukiangalia historia yake kafunga hayo magoli 17 sijui 18 mara 1 (msimu uliopita) miaka yote alikuwa ni chini ya magoli 17. Watu mnapenda kuaminishwa na kila kinachosemwa na so called pundits.
Giroud is too lazy aiseee knowing no one to bench him alivyokuja Welbeck mzee AW alianza kumuweka bench ghafla akaamka kila akiingia sub anakua na impact siku zote wachezaji wakiwa wanagombea namba utaona improvement kwa kila mmoja wao,sawa Perez anaweza kuonekana mediocre lakini nina uhakika atapata huduma nzuri toka kwa viuongo wetu ila jambo jema zaidi wachezaji wangapi walikua mediocre na AW akawafanya kua wazuri simply naupa muda nafasi utaleta majibu.
Karibu Perez,your job here is to score and to bench Giroud mpaka aamke.
 
Sijasema jamaa lazima awe kama Podolski nilimaanisha staili yake ni kama Podolski. Sidhani jamaa kama ni improvement kwa Giroud kama wengi mnavyotegemea. Ukiangalia historia yake kafunga hayo magoli 17 sijui 18 mara 1 (msimu uliopita) miaka yote alikuwa ni chini ya magoli 17. Watu mnapenda kuaminishwa na kila kinachosemwa na so called pundits.
Kaka Mwaka jana ndo kacheza kama CF kocha wa Deportivo alichukua hiyo Gamble

career yake yote alikuwa LEFT WING
 
Tujipe moyo usajili sio mbaya, some of the comments are from the haters, hao wapo kila mahali, we just ignore them. Tatizo nililoliona kwenye transfer market ya msimu huu, ni kumtoa Joe Campbell kwa mkopo; kwa tathmini yangu Campbell ni bora kuliko Walcot na Ox. Ningefurahi kama angebaki lakini bahati mbaya AW hakuona umuhimu wake
 
Back
Top Bottom