Safi sana...Kauli hiyo ya AW akihojiwa na Media baada ya mechi ya leo ni uthibitisho kwamba tayari Mustafi na Perez ni new guns...
Hope ataongeza mwingine kabla ya dirisha kufungwa...
Together We Stand...
Kwa sasa tuna kikosi cha kutosha.Hakuna usajili tena mkuu labda January mwakani.
Mzee mwenyewe ametamka hivyo kwamba "no signings before Wednesday".
Labda anasema hivyo kwa kuwa tayari amecover maeneo husika- Ulinzi, Kiungo na Ushambuliaji.
Ulinzi wa kati - Per Mertesacker, Gabby Paulista, Boss, Rob Holding na Mustafi
Viungo- Xhaka, Cazorla, Elneny, Ramsey, Chamberlain, Jack Wilshere, Alex -Oxlade Chamberlain, Ozil, Kelechi Nwakali, Francis Coquelin na Jeff-Reine Adelaide.
Ushambuliaji- Giroud, Alexis Sanchez, Walcott, Perez, Chuba Akpong, Alex Iwobi, Danny Welbeck, Serge Gnabry na Yaya Sanogo.
Hivyo utaona kabisa tunapiga kipira hadi January bila wasiwasi wowote.
Pamoja na kufanya hiyo business on the pitch ni ngumu sana Wenger kupata mafanikio kwenye hii era sababu hayuko flexible kwenye mbinu hata wachezaji anaowasajili wanafanana kiuchezaji.Wenger ameshindwa kutafuta wachezaji wenye mentality za kina Vieira, Gallas, Campbell, Keown, Toure, Gilberto SilvaMkuu Belo, pesa waliyotumia Arsenal yaani hiyo 100M ni ya kwao wenyewe.
Fikiria Chelsea, Man City na Man Utd wangekuwa wapi kama siyo Abramovich, Sheikh Mansoor na Glazer Family?
Kwa sasa Arsenal na Man Utd ndizo klabu zenye mapato makubwa na Man City mpaka leo hawajawahi kujaza watu uwanja wao wa watu 25000.
Wenger anatufundisha uchumi na waingereza hawapendi kuona hivyo na wanaishia kumsakama kwa maneno ya hapa na pale kwa vile yeye siyo mwingereza.
Leo anathibitisha kusajiliwa Perez na Mustafi tayari wanapiga kelele kusema hiyo ni panic buy!
Alipokaa kimya ametulia na kwaachia kazi wataalam wake wa scouting wafanye kazi, wakawa wanasema kwanini hasajili!
Huyu ndie Arsene Wenger the economist who turned into football management.
Kuna kozi hii siku hizi na inafukuziwa kweli kweli na vijana ambitous.
Pamoja na kufanya hiyo business on the pitch ni ngumu sana Wenger kupata mafanikio kwenye hii era sababu hayuko flexible kwenye mbinu hata wachezaji anaowasajili wanafanana kiuchezaji.Wenger ameshindwa kutafuta wachezaji wenye mentality za kina Vieira, Gallas, Campbell, Keown, Toure, Gilberto Silva
Sizungumzii creativity kuna kipindi Nasri /Fabregas walikuwa kwenye form kama aliyo nayo Ozil.Mkuu, yaani unataka kuniambia Ozil anafanana kiuchezaji na nani pale Arsenal in terms of chances he creates, ni nani pale analingana nae?
Au Granit Xhaka anafanana kweli na uchezaji wa Francis Coquelin? na umeona leo kamweka bench Coquelin na wenzake.
Ozil ni creative midfielder aliegharimu 42.5 M na Xhaka ni box-to-box midfielder aliegharimu 35M.
Tutawapima hawa wawili na khasa Xhaka, Arsenal ikicheza na Chelsea, Man Utd, Man City, Tottenham na West Ham, tusubiri.
Fact ,Etihad stadium Capacity: 55,000Mkuu Belo, pesa waliyotumia Arsenal yaani hiyo 100M ni ya kwao wenyewe.
Fikiria Chelsea, Man City na Man Utd wangekuwa wapi kama siyo Abramovich, Sheikh Mansoor na Glazer Family?
Kwa sasa Arsenal na Man Utd ndizo klabu zenye mapato makubwa na Man City mpaka leo hawajawahi kujaza watu uwanja wao wa watu 25000.
Wenger anatufundisha uchumi na waingereza hawapendi kuona hivyo na wanaishia kumsakama kwa maneno ya hapa na pale kwa vile yeye siyo mwingereza.
Leo anathibitisha kusajiliwa Perez na Mustafi tayari wanapiga kelele kusema hiyo ni panic buy!
Alipokaa kimya ametulia na kwaachia kazi wataalam wake wa scouting wafanye kazi, wakawa wanasema kwanini hasajili!
Huyu ndie Arsene Wenger the economist who turned into football management.
Kuna kozi hii siku hizi na inafukuziwa kweli kweli na vijana ambitous.
Fact ,Etihad stadium Capacity: 55,000
hahahahahahahahahahahaha hamuion hii post au ndo mnajikausha
Ok, but Man City remain behind Man Utd and Arsenal in terms of actual attendance and income generated from each match.
There is a difference between capacity and actual attendance.
Hata hivyo bado uwanja unaongezewa viti na utafikia capacity ya 61,000 kwa msimu wa 2017/2018 hivyo kuweza kuwa second largest after Man Utd's Old Traford.
Good luck!
ila akibaki pia ni vigumu kupata namba kwani hivi sasa kuna viungo wengi sana, majeruhi hakika yameharibu soka ya huyu dogo![]()
Ni tetesi kua JW10 anaweza kuondoka kwa mkopo,Ni kitu ambacho binafsi sipendi kitokee.
ila akibaki pia ni vigumu kupata namba kwani hivi sasa kuna viungo wengi sana, majeruhi hakika yameharibu soka ya huyu dogo