Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mtoto mdogo mchawi...oya aka kajama tukachangie kanunue tunguli
proxy.jpg
 
Deals za Mustafi na Perez zimekamilika? Simuamini Wenger hadi nione "DEAL" au "OFFICIAL"
 
Hakuna kitu kinanikera kama kukosa kuangalia game ya Arsenal duh niko kwenye harusi basi utata mtupu.
 
Kuna ka ubunifu nakaona kwa mbali na kikombishen flan chenye macho but ngoja too early for that
 
Back
Top Bottom