Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haya tumepata upenyo wa kujikusanyia 3 points. Hawa Hull hutumia ubavu sana wanapocheza nasi, sasa wameshabaki 10 hivyo kipindi cha pili ni lazima tucheze attacking football ili kuhakikisha tunakusanya points zote.
 
sana sana boateng bora katolewa na mirafu yake.tukipata la pili hapa itakuwa powa.
 
It's a shame kama hatutashinda hii mechi, itabidi tusahau kuhusu ubingwa!!

Mkuu MF, bado nina matumaini dakika 7 ni nyingi sana, lakini jamaa wote wa Hull wamerudi golini kwao kudefend na dakika ndiyo zinazidi kuyoyoma.
 
goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal beeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen yeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
 
hahahahahahahaha I told you...please don't loose hope until the last minute 🙂
 
Back
Top Bottom