Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Anaachia mkataba uishe wenyewe, halafu yeye anapanda kwenda kwenye bodi na ni yeye ndiye atakaependekeza jina la mrithi wake.

Majina yanayotajwa ni kati ya Klopp, Koeman, na wengine wawili ambao pia ni vijana.
 
Wawili ambao ni vijana kina nani
 
Kwanini Mkuu?

Wachezaji wote niliowataja kwamba wangesajiliwa na Arsenal- Vardy, Mahrez, Lacazette na sasa Mustafi wote Wenger anakataa valuation yao.

Wenger hataki kulipa Zaidi ya pauni 30M

Hivyo nipo sahihi ila tatizo ni stubborn ya Wenger kwenye kusanction monies.
 
Wawili ambao ni vijana kina nani

Pochetino na Frank De Boer ambae sasa yupo Inter.

Lakini kabla ya hao wote Wenger atataka msaidizi wake wa sasa Dragan Stojkovic ndie ashike usukani.

Huyu kwa sasa yupo Japan anafundisha timu ya Nagoya Grampus Eight ambayo ilicheza na Arsenal kwenye pre-season.
 
Nimekuelewa Mkuu Richard, huyo Wenga anatakiwa afukuzwe tu hata kwenye bodi hatakiwi kabisa. Anajifanya timu ya mama yake.
 
Pochetino na Frank De Boer ambae sasa yupo Inter.

Lakini kabla ya hao wote Wenger atataka msaidizi wake wa sasa Dragan Stojkovic ndie ashike usukani.

Huyu kwa sasa yupo Japan anafundisha timu ya Nagoya Grampus Eight ambayo ilicheza na Arsenal kwenye pre-season.

Aliwahi sema hatokaa achague mrithi kwa kuwa kilichotokea kwa Sir alex na david moyes alijifunza

anyway Arsene wenger hafai hata kubakia kwenye BODI whatsoever anatakiwa aende ufaransa kwao akamalize maisha na falsafa zake zilizofeli

naamini pesa anapewa, ila total freedom waliyompa na control ya transfers imemvimbisha kichwa na hakuna mwenye gut ya kumuhoji

kocha ajaye hatokuwa na Complete freedom, atafanya kazi under pressure ya bodi na akichemka watakuwa Ruthless kutokana na hali hiyo atahakikisha anapata wachezaji wake mapema

hofu yangu tu ni pale ambapo ni wazi arsenal watapitia TRANSITION upya ambayo haifaamiki itachukua miaka mingapi, na wasije kurogwa walete makocha wenye LOW PROFILE watazika club ile kwenda midtable
 
Nawasalimu kwa mpigo wanamichezo wenzangu

Kwa wale wapenzi wa EP fantasy league, karibuni tupambane kwenye

Jamii EP League with codes 2598737-758046

Karibuni nyote!
 
Anaachia mkataba uishe wenyewe, halafu yeye anapanda kwenda kwenye bodi na ni yeye ndiye atakaependekeza jina la mrithi wake.

Majina yanayotajwa ni kati ya Klopp, Koeman, na wengine wawili ambao pia ni vijana.
Nakumbuka aliwahi kusema yeye hawezi kupendekeza mrithi wake.
Na pia hivi huyu mzee angeamua kuicha timu mwaka jana si uhakika wa kumpata Pep ulikuwep kabisa?
 
IMG-20160817-WA0036.jpg
 
Back
Top Bottom