Mkuu kama wanaona stadium iko empty kwa mashabiki kwenda kuona vipigo kama hiki watatia akili kichwani. Haiwezekani wakusanye mabilioni ya pesa kila mwaka halafu wanaishia kufanya usajili ambao hauleti ushindi. Mimi huwalaumu pia wapenzi na mashabiki ambao huijaza stadium huku wakiwa hawana furaha na usajili wa Wenger. Umesikia wakimwimbia Wenger Chants of "don't know what you're doing"
kwa sasa sitaangalia mechi yoyote mpaka wenger aondoke..ni msimamo wangu sirudi nyuma...ni uwendawazimu kutegemea kupata ubingwa mbele ya mastraika kama giroud,walcot,welbeck,sanogo..kwa herini wadau tutaonana wenger akiondoka