orthogonal
Member
- Aug 9, 2016
- 99
- 133
Msaada mwenye link jamani
Team ya mamilioni haijashinda idadi kubwa?
Kuwa na aman ,Mustafi ndani ya saa 42 anakuwa ndani ya nyumba.Kuhusu kusajili sina matumaini tena
Hahah a poleKuwa na aman ,Mustafi ndani ya saa 42 anakuwa ndani ya nyumba.
Kikosi dhaifu sana hiki.View attachment 381561
All the best lads...#COYG
Kuhusu kusajili sina matumaini tena
Hahahaha kuna watu wanahali mbaya sana,Ulikuwa unabweka ule upande wetu. Kumbe unakufa na tai shingoni?
Nadhani baada ya hii mechi tutasikia kichwa kipya kinakuja this coming weekKuhusu kusajili sina matumaini tena
Mchezo unauonaje tutachomoka?Dakika ya 15
0-0
Nadhani baada ya hii mechi tutasikia kichwa kipya kinakuja this coming week