Yupo Bielik, Chambers na Holding hawa ni wachanga mno kuwakabili Liverpool.
Wenger anafanya mawasiliano usiku huu.
Jana Arsenal walikuwa wamsajili Thomas Vermaelen lakini wakamwachia aende FC Roma.
Mustafi sasa ni target namba moja.
Hakuna namna inabidi tu afanye hivyoKwa hiyo asajili CB wangapi sasa maana ilikuwa inasemekana anahitajika 1, sasa atasajili CB 2 na midfielder na Striker?
Sidhani kama Arsenal walitaka kumrudisha Vermaelen. Hizi rumors za mitandaoni sometimes sio za kuamini, ni kuzisikia na kusubiri Club web itangaze au news outlet za kuaminika zitangaze.
Yuke ni Jack wheelchair sio wilshereJack Wilshire majeruhi tena, though sio serious lakini huyu ni liability tu kwenye timu.
Arsenal need only look at Manchester United to see dangers of transfer failureHOW ARSENE WENGER TREATS CLUB'S MONEY
____________
Richard na @Elli79 ulikuwa unaulizia hii mambo haya mzee kafungukanicheke kwanza khaah
_____________________
Arsene wenger said Today
'I personally believe the only way to be a manager is to spend the club's money as if it were your own because if you don't do that you're susceptible to too many mistakes,' he added
'You make big decisions and I believe you have to act like it's your own money, like you're the owner of the club and you can identify completely with the club. Because if you don't do that I think you cannot go far.'
Wenger also believes that overpaying players too early in their career can 'kill the hunger' before youngsters have proved themselves at the highest level.
'I’ve fought all my life for footballers to make money but when you pay them before they produce it can kill the hunger. I’m scared we now have players under 17, under 18, who make £1m a year. When Ian Wright was earning that, he’d scored goals, he’d put his body on the line. Now, before they start, they are millionaires – a young player who has not even played.'
Amesema atanunua lkn atakapo pata mchezaji anayeona atakuwa na msaada kwenye timu hasahasa strikers ingawa bado ninaamini arsenal tunakikosi kizuri tu cha ushindani mwaka huu.Mzee Wenger kafunga dirisha lake la usajili? Teh teh!
Mtani, ondoa shaka, Arsenal wanasajili wachezaji angalau wawili kabla ya dirisha kufungwa.
Huwa hawadanganyi wakisema hivyo.
Beki atasajiliwa kabla ya mechi na Liverpool.
Mshambuliaji itakuwa siku za mwisho wa usajili.
Utashangaa Lacazette anasajiliwa tena kwa ada isiyofikia hiyo ya £40 wanayoitaka Lyon.
Usajili wa Xhaka ulikuwa ni muhimu kuliko usajili wote wa mwaka huu.
Hii ndiyo transfer policy ya Arsenal kwenye dirisha la usajili, polepole lakini ukiwa makini- slow but sure.
By the way, tegemea Vieira na Roy Keane kurudia kati ya Arsenal na Man Utd pale Xhaka na Pogba watakapokutana tena.
Its back!
Mechi kati ya Arsenal na Man Utd inasubiriwa kwa hamu.
Usajili wa Xhaka kwa Arsenal na Pogba kwa Man Utd ni wa kimkakati zaidi.
Stay Tuned.
Beki ndio John Evans ?
John Evans alietemwa United? Kweli nyie timu ndogo.Yes wanajadiliana na Valencia kuhusu ada ya usajili kwa Mustafi.
Jonny Evans nae yumo kwenye mipango.
Evans huenda akasajiliwa kama "cover" kwa Koscielyn na Gabby.
Mustafi ni beki wa kuaminiwa kuziba pengo la Mertesacker.
Xhaka na pogba????Mtani, ondoa shaka, Arsenal wanasajili wachezaji angalau wawili kabla ya dirisha kufungwa.
Huwa hawadanganyi wakisema hivyo.
Beki atasajiliwa kabla ya mechi na Liverpool.
Mshambuliaji itakuwa siku za mwisho wa usajili.
Utashangaa Lacazette anasajiliwa tena kwa ada isiyofikia hiyo ya £40 wanayoitaka Lyon.
Usajili wa Xhaka ulikuwa ni muhimu kuliko usajili wote wa mwaka huu.
Hii ndiyo transfer policy ya Arsenal kwenye dirisha la usajili, polepole lakini ukiwa makini- slow but sure.
By the way, tegemea Vieira na Roy Keane kurudia kati ya Arsenal na Man Utd pale Xhaka na Pogba watakapokutana tena.
Its back!
Mechi kati ya Arsenal na Man Utd inasubiriwa kwa hamu.
Usajili wa Xhaka kwa Arsenal na Pogba kwa Man Utd ni wa kimkakati zaidi.
Stay Tuned.
Kwani pogba si aliuzwa na united, na leo amevunja record kurudi hapo hapoJohn Evans alietemwa United? Kweli nyie timu ndogo.
Hawa jamaa wanasahau haraka sana.Kwani pogba si aliuzwa na united, na leo amevunja record kurudi hapo hapo
Kwani pogba si aliuzwa na united, na leo amevunja record kurudi hapo hapo