Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

E Bana hujapata update yeyote kumuhusu mahrez

Yes Arsenal wameweka mezani pauni milioni 41. Sababu Ni kwamba kama Leicester wamekubali 30M kwa Kante, je vipi 41M kwa Mahrez?

Ndio nikamwambia Kashengo asiamini sana statement zinazotolewa na Arsenal, transfer market ni kama game kwa Ulaya.

Si umesikia Higuain anafanyiwa medical Juventus?

Bosi wa Juventus alisema Higuain hauzwi, lengo la Napoli lilikiwa wamuuze kwa Juventus ambao nao wanaweza kumuuza Pogba kwa Man Utd.
 
Usajili Updates.

Arsenal waweka mezani Euro milioni 50 (pauni milioni 41.2) kutaka kumsajili Riyad Mahrez kutoka Leicester.


mahrez_630x518.jpg


Arsene Wenger jana alikutana na Mahrez mjini Lens nchini Ufaransa ambako Arsenal walikwenda kucheza na timu ya Lens.

Leicaster hivi sasa wanasikilizia kitita hicho ambacho ni swa na pauni milioni 41.2

Mahrez alijiunga na Leicester kutoka timu ya Le Havre ya Ufaransa mwaka 2014 kwa ada ya uhamisho kiasi cha paini 400,000 na kwa sasa amebakiza mika 3 kwenye mkataba wake.

Habari zaidi kufuata ila kwa wale wanaoelewa usajili wa Arsenal kuweni wavumilivu.

NB: Mtaalam wa usajili Dick Law na wenzake jana waliekea Ujerumani hivyo kuna harakati za kusajili beki mwingine au mshambuliaji.
 
Usajili Updates: Arsene Wenger azungumzia usajili, asema Arsenal itatumia pesa kwa wachezaji wanaofaa.

WENGER TO 'SPEND BIG' ON RIGHT TARGETS
CoEZBV9WAAAayQW.jpg


Arsenal manager Arsene Wenger has vowed to keep spending big this summer in an effort to win the Premier League title - provided he can secure the right players.

"We are very active and if we find the right candidates, we will spend the big money," Wenger said. "We have already spent big and, until now, nobody has made a bigger transfer than we have in the country.

"Even if Pogba might fly from Italy to England, I don't know, but overall we have made a big investment already and we are active.

"I believe we are active, very are active every day, and it's not over. Today we are in July and the transfer market finishes on August 31.

"A lot happens many times in the last week so it's a long time to go but we are active, we are working."

Chanzo: Arsenal TV

NB: Maskauti wa Arenal wapo kila kona wakishughulikia wachezaji wa sehemu mbili- ushambuliaji au kiungo na sehemu ya ulinzi.
 
Mabadiliko ya jezi yafanywa na Arsene Wenger.

upload_2016-7-23_17-2-54.png



Mchezaji mpya mlinzi Rob Holding anachukua jezi ya zamani ya Aaron Ramsey jezi namba 16.

Pia kuna mabadiliko mengine ambapo Aaron Ramsey amechukua jezi namba 8 iliyokuwa ikitumiwa na Mikael Arteta.

Alexis Sanchez atavaa jezi namba 7 ambayo ilikuwa ikitumiwa na Tomas Rosicky.

Granit Xhaka atavaa jezi namba 29 na Alex Iwobi atavaa jezi namba 17.

Hivyo basi ukiwa unatazama wachezaji wa Arsenal wakiwa uwanjani basi hakutakuwa na shida ya kuwatambua.
 
Santi Cazorla, Granit Xhaka na Rob Holding ndani ya London Colney.

CoDU9-yWEAAYACV.jpg


CoC6VS-WYAAlalY.jpg

Alexis Sanchez nae karudi lakini bado hayupo fit.

CoDc8UaXgAA61aJ.jpg

Santi na Rob wakipiga zoezi asubuhi hii.

CoDcMPfWAAApvsI.jpg

Jack Wilshere alikuwepo.

upload_2016-7-23_17-20-34.png

Granit Xhaka akiangaliwa na meneja Arsene Wenger.

upload_2016-7-23_17-21-27.png

Vijana walipasha musuli.
 
Usajili Updates: Wojciech Szczesny kuendelea kuchezea FC Roma kwa msimu wa 2016/2017.


scz_630x412.jpg


Kipa namba 2 wa Arsenal ataendelea kupata uzoefu na timu ya Roma ya Italy.

Szczesny ndio kipa namba moja ajae kwa Gunners.

Kuhusu Riyad Mahrez na Alexandra Lacazette ni kwamba Arsene Wenger amekwishafanya mazungumzo na mawakala wa wachezaji hawa wawili.

Wenger alizungumza na wakala wa Lacazette alipokuwa France kwenye fainali za Euro 2016, na pia juzi amefanya mazungumzo na wakala wa Mahrez wakati Arenal ilipocheza na Lens ya France.

Lakini mpaka sasa inasubiriwa kuona kama kweli Arsene Wenger anaweza kweli kutoa pauni milioni 75 kwa wachezaji hawa wawili kwa wakati mmoja.

Baada ya Wenger kushindwa kuwasajili Jamie Vardy na Gonzalo Higuain, amekuwa anajaribu kuhakikisha anapata wachezaji wengine wenye ubora unaofaa kuiimarisha timu hasa kwenye sehemu ya kiungo na ushambuliaji na kwa kuwa Lacazette ana miaka 25 ataleta ushindani kwa Giroud huko mbele.

Pia Riyad Mahrez anaweza kutumika katika mitindo mitatu tofauti ya uchezaji kama ule wa 4-3-3, mtindo wa 4-4-2 na mwingine wa 4-3-2-1.

Wenger anataka kumbadilisha Mahrez acheze kama mshambuliaji ambapo anaweza kuwa sawa na Robin Van Persie na Thiery Henry ambao walibadilishwa nafasi za uchezaji wao kuja kuwa washabuliaji wa kutisha.

Habari Zaidi kuendelea kukujia kupita hapahapa jukwaa letu tukufu la Arsenal.

COYGs!!1
 
Gossip column: Mahrez, Bony, Lukaku, N'Koudou, Moyes, Benteke, Allardyce
  • 8 hours ago
_85783703_gossip_promo.jpg

For a list of all the completed deals, check out the transfers page.

Arsenal are considering a £75m double deal to bring Leicester City winger Riyad Mahrez, 25, and Lyon striker Alexandre Lacazette, 25, to the Emirates Stadium. (Sunday Mirror)

Swansea are preparing a bid to re-sign Wilfried Bony, 27, from Manchester City, with Everton also interested in the Ivory Coast striker. (Sunday Express)


Everton striker Romelu Lukaku, 23, has his sights on a return to Chelsea to complete what he says is "unfinished business". (Sun on Sunday)

Marseille winger Georges-Kevin N'Koudou, 21, is close to completing a move to Tottenham following the arrival of Netherlands striker Vincent Janssen, 22, at White Hart Lane. (Independent)

Sam Allardyce will confirm that Wayne Rooney is staying as England captain. The FA is aiming to arrange a friendly on 1 September as Allardyce's first game in charge, with Czech Republic the likely opponents. (Sun on Sunday)

West Ham have placed an £18m price tag on 17-year-old defender Reece Oxford, who is being monitored by Manchester United and Manchester City and was the subject of a £10m bid from Bundesliga club Red Bull Leipzig. (Mail on Sunday)

Frustrated Steve Bruce quit Hull City without a penny in compensation after the club failed to land three transfer targets. (Sunday Mirror)

New Sunderland manager David Moyes wants to sign striker Will Keane, 23, from Manchester United for a £6.5m fee. (Sun on Sunday)

_90498535_dailytelegraph.jpg

Sam Allardyce wants to win back the England fans, according to the Sunday Telegraph
Manchester United and Manchester City are both interested in teenage Brazilian striker Gabriel Jesus, 19. (Sunday Mirror)

Former Manchester United and England defender Gary Neville, 41, says he still feels optimistic despite losing two jobs in six months, and insists he had "complete belief" in England at Euro 2016 "until the last 60 minutes against Iceland. I never saw that coming". (Sunday Times - subscription required)

Neville could return to football as assistant to David Moyes at Sunderland. (Sunday Express)

Former Arsenal captain Tony Adams has turned down the chance to coach Arsenal's Under-18s after Thierry Henry left the role, opting instead for a job at Chinese club Chongqing Lifan. (Sunday Telegraph)

Midfielder Bastian Schweinsteiger, 31, could be one of several players to leave Manchester United, with midfielder Juan Mata, 28, and winger Memphis Depay, 22, also at risk. (Mail on Sunday)

Swansea midfielder Joe Allen is set to hold talks with Stoke manager Mark Hughes on Sunday as he closes in on a £13m move from Liverpool. (Sunday Telegraph)

West Ham joint-chairman David Gold has told fans on Twitter that a move for AC Milan forward Carlos Bacca, 29, is "up to the player". (London Evening Standard)

Everton are preparing a £12.5m bid for Porto defender Bruno Martins Indi, 24, as John Stones moves closer to a deal with Manchester City. (Sun on Sunday)

Liverpool have ended their bid to sign Udinese midfielder Piotr Zielinski, 22, after the two clubs disagreed over his £10m price tag. (Gazetta dello Sport)

Middlesbrough are interested in signing Lille midfielder Ibrahim Amadou, 23. (L'Equipe - in French)

_90497207_dailysport.jpg

The Daily Star Sunday reports that Arsenal are weighing up a £45m move for Riyad Mahrez
West Ham are close to signing Argentine striker Jonathan Calleri, 22, from Brazilian club Sao Paulo after he turned down a move to Inter Milan. (Sun on Sunday)

Crystal Palace are leading the chase to sign striker Christian Benteke, 25, despite Liverpool wanting £33m. (Croydon Advertiser)

Everton have agreed a £25m fee for Zenit St-Petersburg's Belgium midfielder Axel Witsel, 27, as they look to beat Chelsea and Inter Milan to a deal. (Mail on Sunday)

Arsenal right-back Hector Bellerin, 21, has declared the club his "home" amid rumours linking him with Manchester City. (Sunday Mirror)

Promoted Premier League side Burnley have two fresh injury worries after Ashley Barnes, 26, and Lukas Jutkiewicz, 27, limped off during their 4-1 pre-season victory over Bradford City. (Lancashire Telegraph)

Best of social media
Dutch forward Memphis Depay, 22, told fans that he and his Manchester United team-mates were "lost" in China after their plane was forced to make an emergency landing.

United unveiled their new kit in Shanghai - new signing Zlatan Ibrahimovic, the 34-year-old much-travelled former PSG and Barcelona striker, confirmed he will wear the number nine shirt.

_90497138_gettyimages-579352340.jpg

Jesse Lingard, Henrikh Mkhitaryan and Juan Mata model United's new kit
Fabio Borini celebrated scoring for Sunderland in their 2-1 pre-season friendly win over Rotherham on Saturday, just five hours after David Moyes took over as manager of the Black Cats.

Jack Wilshere prepared for Arsenal's pre-season trip to America by debuting his drastic new hairdo on Twitter.

_90497140_wilshere.jpg

And finally...
Real Madrid forward Cristiano Ronaldo is set to have an airport named after him in his native island of Madeira, adding to the already impressive tally of a hotel, a museum and a bronze statue in his honour that already exist. (Sunday Mirror)
 
Ebana msimu huu competition itakuwa fiercely, tukimaliza ndani ya top 4 nitazidi kumuheshimu Wenger. Fikiria misimu mitatu iliyopita tumeona baadhi ya vitimu vinavyojiita bora vimekosa UCL miaka kadhaa...
 
Ebana msimu huu competition itakuwa fiercely, tukimaliza ndani ya top 4 nitazidi kumuheshimu Wenger. Fikiria misimu mitatu iliyopita tumeona baadhi ya vitimu vinavyojiita bora vimekosa UCL miaka kadhaa...

Kuna siku atawashusha daraja kabisa
 
Kuna siku atawashusha daraja kabisa
Kama Mourinho alivyokaribia kuwashusha Chelsea au sio? Anyway, Mourinho hajatimiza dream yake ya kushusha daraja a former England champion, anaweza kuitimiza within 2 or 3 seasons.
 
Usajili Updates.

Arsenal waweka mezani Euro milioni 50 (pauni milioni 41.2) kutaka kumsajili Riyad Mahrez kutoka Leicester.


mahrez_630x518.jpg


Arsene Wenger jana alikutana na Mahrez mjini Lens nchini Ufaransa ambako Arsenal walikwenda kucheza na timu ya Lens.

Leicaster hivi sasa wanasikilizia kitita hicho ambacho ni swa na pauni milioni 41.2

Mahrez alijiunga na Leicester kutoka timu ya Le Havre ya Ufaransa mwaka 2014 kwa ada ya uhamisho kiasi cha paini 400,000 na kwa sasa amebakiza mika 3 kwenye mkataba wake.

Habari zaidi kufuata ila kwa wale wanaoelewa usajili wa Arsenal kuweni wavumilivu.

NB: Mtaalam wa usajili Dick Law na wenzake jana waliekea Ujerumani hivyo kuna harakati za kusajili beki mwingine au mshambuliaji.
Ni kijitetesi tu kisichokuwa na ukweli wowote
 
Back
Top Bottom