Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msimu wa maandalizi kwa timu yetu ya Arsenal unaanza rasi leo ambapo timu yetu inatarajiwa kucheza na timu ya Lens ya Ufaransa.

Uwanja ni wa Lens uitwao Stade Bollaert-Delelis.

Utaratibu mzima wa mechi za kujipima nguvu za Arsenal.

vs MLS All-Stars, Thursday 28 April, 01:00 BST, mjini Dallas katika jimbo la Texas nchini Marekani.

vs Chivas, Sunday 31 July, 17:00 BST, San Jose huko Santa Clara jimboni California, Marekani.

vs Viking VK, Friday 5 August, 19:30 BST, Stavanger [Norway]

vs Manchester City, Sunday 7 August, 18:00 BST [Stockholm]
 
Manolas Is not For sale mpaka ufikie £45mil waliyoweka AS ROMA, Riyad Mahrez nae ni £45mil

Sio rahisi Kutoa hizo Pesa kutoka Arsenal Board

Higuain Deal lake ni Impossible kwa umri wake na Value ni Crazy ukizingatia ana mwaka mmoja Katika mkataba

Release ya £97mil ni UCHIZI mtupu.

Napoli ni mawili wamuuze China wapige pesa au wabaki nae mkataba Uishe mwakani aondoke Bure

Maana Rais wa Napoli ni Mwehu Alidai Atletico walibid €60mil + Wachezaji wawili na Alikataa

Na watauza China inakoelekea Unless Hguain abadiri maamuzi aongeze Mkataba

Ndio maana nimesema, kama Wenger akiamua kuvunja benki, lakini hiyo sera yao ya usajili haijasimamia hapo.
 
Na washua wameshaona Hawana mpango wakumwaga mapesa mengi kusajili so kwa super quality player in the market lazima umwage mzigo kwa mpango huu kina holding wanahusika Sana Wacha niwe mpole tu kwa kweli nisubir ligi haya mengine yanauzi
 
Msimu wa maandalizi kwa timu yetu ya Arsenal unaanza rasi leo ambapo timu yetu inatarajiwa kucheza na timu ya Lens ya Ufaransa.

Uwanja ni wa Lens uitwao Stade Bollaert-Delelis.

Utaratibu mzima wa mechi za kujipima nguvu za Arsenal.

vs MLS All-Stars, Thursday 28 April, 01:00 BST, mjini Dallas katika jimbo la Texas nchini Marekani.

vs Chivas, Sunday 31 July, 17:00 BST, San Jose huko Santa Clara jimboni California, Marekani.

vs Viking VK, Friday 5 August, 19:30 BST, Stavanger [Norway]

vs Manchester City, Sunday 7 August, 18:00 BST [Stockholm]
Game ya leo saa ngapi kwa masaa ya Tanzania
 
Man wameshakufa Mkono kasoro
 
Hii ndiyo timu iliyoanza mechi na Lens.

Martinez, Debuchy, Mertesacker, Chambers, Monreal, Elneny, Coquelin, Walcott, Iwobi, Reine-Adelaide na mbele Chuba Akpom
 
Uwanja wa Lens kabla mechi haijaanza.

Lens

Mtunza vifaa vya wachezaji au kitman bwana VIc Akers alipokuwa akiandaa vifaa vya wachezaji kwenye chumba cha wachezaji wa Arsenal.

Meneja Arsene Wenger akisalimiana na wapenzi wa Gunners ambao wamesafiri hadi Lens mji uliopo kaskzini mwa Urafansa, kushuhudia mtanange huo.

CoC4dPEXYAAq_Wm.jpg

Kikosi cha vijana kabla ya mechi ya kirafiki na Lens.
 
Dakika imekwenda ya 76 Arsenal wanaonekana wamechoka na au bado wanawaza likizo.

Lens 1 Arsenal 0
 
Lens 1 Arsenal 1

Alex Oxlade Chamberlain anafunga goli la kusawazisha dakika ya 81

article-3703949-36843EFE00000578-449_636x426.jpg

Mpira umeanzia kwa Joel Campbell na akampa pasi Serge Gnabry ambae nae akamtengenezea chumba OX nae kwa utulivu kabisa akiwa umbali wa yadi 15 akauchota mpira huo na akaukwamisha kimiani kwenye kona juu ya kipa wa Lens Douchez.
 
Mpira umeisha na timu zote zimetoa sare ya 1-1

Arsenal walionekana kutaka kuongeza magoli baada ya kusawazisha lakini meneja Arsene Wenger atakuwa ameridhika na matokeo haya.
 
Back
Top Bottom