Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,012
- 945
Wakimpasia GiroudJamani hebu piga picha.
Sanchez ° 0zil ° Mahrez.
Msimu ujao utakiwa so lit.

Wakimpasia GiroudJamani hebu piga picha.
Sanchez ° 0zil ° Mahrez.
Msimu ujao utakiwa so lit.

KivipiSasa watu wapo serious
Anazungumziwa MahrezKivipi
Tusubiri mzee kasema ata kama ni kumtoa pogba uko aliko kama anaviwango vya arsenal huyo ni wetuAnazungumziwa Mahrez
Ni kijitetesi tu kisichokuwa na ukweli wowote![]()
![]()
![]()
Mpenzi huyu wa Gunners tayari ana imani kwamba Arsenal watamsajili Riyad Mahrez, sembuse wewe Leloo June!
Bro wenger awezi peleka 40 Leicester city never, izo atapeleka pale Madrid, Barcelona au Bayern ila sio Leicester city usipoteze mda wako na hiyo taarifa.![]()
Bro wenger awezi peleka 40 Leicester city never, izo atapeleka pale Madrid, Barcelona au Bayern ila sio Leicester city usipoteze mda wako na hiyo taarifa.
Haya bana tuongojee maana dirisha la usajili lipo wazi hadi tarehe 31 August.

Nataman Giroud afeWakimpasia Giroud![]()
![]()
![]()
Naona unafanya mpira kuwa vita. It's just a game kiongozi, kutamani jamaa kufa umepitiliza.Nataman Giroud afe
Naona unafanya mpira kuwa vita. It's just a game kiongozi, kutamani jamaa kufa umepitiliza.
Jamaa anaroho ngumu kweli![]()
Mpenzi huyu wa Gunners tayari ana imani kwamba Arsenal watamsajili Riyad Mahrez, sembuse wewe Leloo June!
Jamaa anaroho ngumu kweli
Cha kustaajabisha amepinga juu ya ujio wa lacatezzeHuyu jamaa anadai na yeye ana inside info. za uhakika Mahrez anatua Emirates.
Cha kustaajabisha amepinga juu ya ujio wa lacatezze
Bora laccatteze kuliko mahrez