Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lacazette ni mmaliziaji mzuri tu lakini Mahrez nae ni mtafutaji na pia mfungaji magoli yaani attacking midfielder.

Lyon huku wakifahamu desperation ya Arsene Wenger, hatari yake ni kwamba wanaweza kupandisha dau kwa kuona jinsi Napoli walivyozuia Euro 73 kwa Higuain.

Tatizo la Wenger siku zote ni kukaa na kusubiri, sifahamu huwa anasubiri nini.
Uwa anasubir dakika za mwisho
 
Ebana msimu huu competition itakuwa fiercely, tukimaliza ndani ya top 4 nitazidi kumuheshimu Wenger. Fikiria misimu mitatu iliyopita tumeona baadhi ya vitimu vinavyojiita bora vimekosa UCL miaka kadhaa...
Haita kaa itokee
 
calum chambers AW inabid amuuz uyu mtoto mana anajaza vitabu tu pale!!
 
calum chambers AW inabid amuuz uyu mtoto mana anajaza vitabu tu pale!!
Unaweza kuwa na bidhaa isiyouzika. Huyu hata jirani wenye shida hawamuulizii kumtumia kwa mkopo. Tusubiri kandarasi yake iishe ataondoka Huru kama mizigo mingine.
 
Nataman Giroud afe

Usimu_underrate sana Giroud kiasi hiko. Tuliweza kusema kuwa Arsene Wenger alikuwa anampendelea ila chakushangaza NT kaachwa Benzema kabebwa yeye!

Anakitu Tofauti fulani hivi, ambacho hakionekani ki urahisi kwa jicho la kiushabiki.

Hebu jiulize wewe unayesema Jamaa hafai, ni mchezaji gani wa United amefunga magoli mengi last season zaidi ya OG.?

Kwahyo reference yako ni utd inayocheza europa???

Akili zako hazina tofauti na za venger
 
Bro wenger awezi peleka 40 Leicester city never, izo atapeleka pale Madrid, Barcelona au Bayern ila sio Leicester city usipoteze mda wako na hiyo taarifa.

Mimi na wewe hatuna uhakika kama anaweza ama vipi!

Kwani ni nani aliyefikiria kuwa Ozil angechukuliwa kwa lile dau?

Kwani nani aliyefikiria kama Sanchez angewe bebwa kwa dau lile?

Muda utatujuza zaidi!
 
Arsenal wafanya mazoezi mafupi kabla ya kuelekea USA kwa mechi za kirafiki.

CoNna_vWYAAkozj.jpg

CoNdy7QXEAE1a9r.jpg

Wachezaji wa Arsenal wakiwa tayari kwa safari ya USA.
 
Kwahyo reference yako ni utd inayocheza europa???

Akili zako hazina tofauti na za venger

Nimezungumzia perfomance ya OG katika Ligi... Kulinganisha na washambulia wa timu nyingine maarufu kama Utd, Chelsea na LIVERPOOL.

Sijui wewe unazungumzia nn?
 
Usimu_underrate sana Giroud kiasi hiko. Tuliweza kusema kuwa Arsene Wenger alikuwa anampendelea ila chakushangaza NT kaachwa Benzema kabebwa yeye!

Anakitu Tofauti fulani hivi, ambacho hakionekani ki urahisi kwa jicho la kiushabiki.

Hebu jiulize wewe unayesema Jamaa hafai, ni mchezaji gani wa United amefunga magoli mengi last season zaidi ya OG.?

Nitafutie Chelsea au Liverpool hapo

Nimezungumzia perfomance ya OG katika Ligi... Kulinganisha na washambulia wa timu nyingine maarufu kama Utd, Chelsea na LIVERPOOL.

Sijui wewe unazungumzia nn?
 
Usajili Updates: Arsenal bado wanahangaikia kusajili wachezaji wawili mshambuliaji na kiungo.

Maofisa wa klabu ya Arsenal kwa siri wamekuwa wakihangaikia usajili wa mshambuliaji mmoja ambae yupo Ujerumani na jina lake bado ni siri.

Pia Arsenal wanashughulikia usajili wa mchezaji wa kiungo ambae atakuja kushirikiana vema na mshambuliaj huyo.

Ikiwa Arsenal watafanikiwa kumsajili mshambuliaji huyo na baadae mchezaji wa kiungo, basi wanatarajiwa kutumia kiasi cha pauni 100 milioni.

Lakini wakishindwa kumsajili mshambuliaji ndipo watakapokweda Lyon kumsajili Alexndara Lacazette ambae akagharimu kiasi cha pauni milioni 40 pamoja na kiungo anaesemwa kwamba ni Riyad Mahrez ambae atagharimu kiasi cha pauni milioni 42.

Jana wamiliki wa timu ya Leicester walikutana mjini Los Angeles kujadili majina ya wachezaji kadhaa wa timu hiyo likiwemo jina la Mahrez.

Habari Zaidi kufuatia kuhusu usajili wa Arsenal ambao siku zote kuvuta udadisi wa hali ya juu kabisa kwa wapenzi wa timu hiyo.

Stay tuned.
 
Usajili Updates:

Lyon yakataa dau la Arsenal la Euro 35milioni (pauni 29 milioni) kwa Alexandra Lacazette.

lac.jpg

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Lyon wanasema kwamba Lacazette hawezi kuuzwa kwani hakuna mshambuliaji mwingine wa kuziba nafasi yake.

CoSJREkW8AAhtEu.jpg

Kwa kiingereza:

‘The reality is that Arsenal made an offer of €35m to Olympique Lyonnais which we did not respond to for one reason only,’ a club statement read'

‘Lyon will keep Alexandre Lacazette who is irreplaceable and is a key man in Bruno Genesio’s squad'

Kwa Kiswahili:

" Hali halisi ni kwamba Arsenal wameweka mezani (maneno yangu) kiasi cha Euro 35m kwa Olympique Lyonnais ambayo hatukujibu kwa sababu moja tu.

Alexandra Lacazette ataendelea kuwa mchezaji wa Lyon ambae si rahisi kubadilishwa na ni mchezaji muhimu wa kikosi cha meneja Bruno Genesis'

Hata hivyo Arsenal bado hawajakata tamaa na kuna uwezekano wakamsajili mshambuliaji wa Toulouse Ben Yedder ambae anatarajia kugharimu kiasi cha pauni milioni 8.

472768322.jpg

Wissam Ben Yedder.
 
Huyo wenger ni msenge barid tena shoga LA Guantanamo hawez tuletea usenge kama huu miaka nenda rudii whufc wamepeleka £35 wamekataliwa Kwahiyo yeye anajikuta mentali Yani very stupid huyu mzee Af anaupdate kua ataspend big this summer very stupid
 
Huyo wenger ni ****** barid tena shoga LA Guantanamo hawez tuletea usenge kama huu miaka nenda rudii whufc wamepeleka £35 wamekataliwa Kwahiyo yeye anajikuta mentali Yani very stupid huyu mzee Af anaupdate kua ataspend big this summer very stupid

Arsenal wameambiwa Lacazette atagharimu si chini y 40M na LACAZETTE akataka uhamisho Ijumaa, wao wamepeleka 35M, ajabu sana.

Huyu mzee sifahamu ana matatizo gani na pesa ambayo si yake.
 
Back
Top Bottom