Hii ni kusema babu yenu, Mzee Wenger ndio amemaliza usajili?Usajili Updates: Arsenal leo inakamilisha usajili wa beki mwingine mkoba Robert Holding kutoka timu ya Bolton Wanderers...........
5. Hii ni ya kuchekesha kidogo, Rob anajua kubana matumizi kwani alipokwenda Thailand kwa likizo aliweza kupanga kwenye hoteli ya bei nafuu kabisa ya paundi 5 kwa usiku mmoja na hiyo pia imemfurahisha mzee Arsene Wenger ambae ni muangalifu sana na masuala ya matumizi ya pesa.
Rob Holding. Karibu Arsenal Rob na unakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa kimyakimya na Arsenal baada ya Granit Xhaka na Takuma Asano.
Waliondoka watatu na amesajili watatu?
Huyo mjapani mna mpango wa kumbadilisha jina au ndio litabaki hilohilo?