Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama arsenal tutamsaini verdy na babu akiendelea kuhakikisha morata anakuja, mambo yatakua mazuri sana, geroud akiwekewa mbadala qataweza kushinda lakini kitendo cha kumtegemea geroud peke ake ni tabu sana, kwa nini timu ya taifa aweze kujitahidi na akiwepo arsenal iwe jipu?
 
Vipi mliwacheka man utd walipomnunua babartov kisa umri? Jamaa akawapa kombe, au mliwacheka walipomnunua van persi kisa umri? Pia aliwapa kombe, kabla hujamnunua m2 km morata, dyabala, lacazate hadi aje kuzoea ligi na msimu unaokuja kuna mastrika ambao wamezoea lig km aguero, kane, costa naww inabidi uwe na mzoefu km vardy. So wenger atanunua mastrika wawili mmja anakuwa anazoea ligi huku vardy anapambana na wazoefu. Kwa ugumu wa msimu ujao me sioni km wenga atakosea km atampata vad
With Vardy scoring 24 Premier League goals last term and Ozil creating 144 chances in 35 appearances last term, Arsenal fans will undoubtedly be hoping that the Leicester forward arrives to finally help their chief creator break Henry's assist record next term.
 
Usajili Updates: Arsenal wanaidhoovisha Leicester, huenda wakamsajili Riyad Mahrez pia.

vardy-677148.jpg


Wakati Arsenal wakiwa wanangojea Jamie Vardy akamilishe taratibu za kusajiliwa, huenda wakamsajili pia Riyad Mahrez ambae ni mshambuliaji mwenza wa pembeni wa Jamie Vardy.

Klabu ya Leicester katika kujaribu kumzuia Vardy asiende Arsenal jana usiku waliweka dau kubwa Zaidi kwa mshambuliaji huyo lakini tayari ilionekana amekwishafanya Medical na yupo tayari kutia saini karatasi muhimu.

Pia wakti huohuo jana jioni Arsenal walidokezwa kwamba mkataba wa Riyad Mahrez haukuwa umeshiba vya kutoha hivyo kuanza utaratibu waharaka wa kuomba kufanya mazungumzo na mchezaji huyo wa Leicester.

Mahrez alijiunga na Leicester Januari mwaka 2014 akitokea timu ya Le Havre ya France kwa gharama ya pauni 400,000.

Mwezi August mwaka jana Leicester waliboresha mkataba wa Mahrez lakini haijulikani una gharama ya kiasi gani ambapo inakisiwa kuwa swa na ule wa Jamie Vardy ambapo kuna kifungu kilichowekwa kinachosema kwamba:-

"Endapo timu ingine kubwa inayocheza kwenye "champions league", itajitokeza kutaka kufanya mazungumzo ya usajili, basi timu hiyo itatakiwa kulipa gharama ya pauni milioni 20."

Hivyo kwa mara ingine tena Arsene Wenger ameamuru wataalam wake waanze kazi na waimalize kabla au baada ya Euro 2016.

Arsene Wenger alikwishafanya utafiti na mtandao wake wa maskauti ukiongozwa na Gilles Grimandi nchini Ufaransa kwa Mahrez, lakini akaghairi na kuja kushtushwa na uchezaji wa Mahrez akiwa Leicester City.

Ikiwa mambo haya yatakuja kuwa fully confirmed basi Arsenal watakuwa wamefanya biashara moja maridadi sana.

Tusubiri baadae kidogokwa habari zaidi.

Stay Tuned.
 
Kwa Vardy bado sioni upgrade yoyote. Ni kweli kuwa Giroud amekuwa mzigo, striker asiyefunga 20+ goals hatufai hata kidogo. Ngoja tuone usajili utasemaje.
 
kama mlivyompata mwenye Badge ya Le championent Ajuza Zlatan Ibrahimovic

mmesajili ajuza asee 35 years ni babu huyo
Zlatan anasajiliwa kuja kuuza jezi ndio maana anapewa mkataba wa mwaka mmoja na alikuwa na dream ya kucheza EPL,Ed Woodward kwenye mambo ya biashara hana mpinzani,angalia usajili wa Di Maria,Falcao, Bastian,Depay ,Martial na sasa Zlatan
 
Kama arsenal tutamsaini verdy na babu akiendelea kuhakikisha morata anakuja, mambo yatakua mazuri sana, geroud akiwekewa mbadala qataweza kushinda lakini kitendo cha kumtegemea geroud peke ake ni tabu sana, kwa nini timu ya taifa aweze kujitahidi na akiwepo arsenal iwe jipu?
hao wakija Grood atakua atacheza FA na carling tu au auzwe tu
 
Kwa Vardy bado sioni upgrade yoyote. Ni kweli kuwa Giroud amekuwa mzigo, striker asiyefunga 20+ goals hatufai hata kidogo. Ngoja tuone usajili utasemaje.
Nimesikia babu kachomoa kwa Vardy kasema hawezi Lipa mamilioni hayo, ya kweli Haya mupenzi ??
 
Nimesikia babu kachomoa kwa Vardy kasema hawezi Lipa mamilioni hayo, ya kweli Haya mupenzi ??

Nimeskia kuwa Leicester walimuongezea mshahara vardy na wakamtumia boss wa team aongee nae ili ambadili mawazo, so vardy akawa yuko dilema ndo kusema atatoa maamuzi yake ya mwisho leo mchana kabla hajapanda ndege kwenda kwenye euro, hivo anaweza kuwa amebadili maamuzi maybe
 
Mi nacheki Skysport news hapa Vardy akiwa na England ameshapanda Ndege kuelekea Ufaransa ktk michuano ua Euro na bado yeye binafsi hajaamua kuja arsenal au abaki lecester....ila ameonesha nia....Kwa hiyo hakuna deal bado may be bdae tunaweza sikia chochote.... Binasfi napenda Vardy aje safu ya ushambuliaji ilikosa msisimko
 
Mkuu, usiwe na wasiwasi huu usajili wa Vardy ni katika moja ya "bargain" za juu kabisa kuwahi kutokea.

Ni vigumu sana kupata mshambuliaji ambae yupo available kwa gharama ya milioni 20 kwa sasa.

Hiyo ndio maana ya "football scouting" ambapo unakuwa unaangalia wapi pana mwanya au opportunity na una-act quckly and swiflty.

Jamie Vardy ni mshambuliaji aliekamilika na atatusadia sana na katika hii ni lazima tumpe Arsene Wenger "credit".

Mkuu hivi endapo kweli ikatokea usajili huu wa vardy umekamilika unadhani ni usajili sahihi kwa timu??
 
Mkuu hivi endapo kweli ikatokea usajili huu wa vardy umekamilika unadhani ni usajili sahihi kwa timu??

Ni sahihi ingawa ni short-term solution.

Alvaro Morata ndie long term solution lakini inawesekana Wenger akaenda kwa washambuliaji wengine niliowataja.

Idealy, Wenger alisema kwamba anahitaji kusajili wachezaji watatu.

Tusubiri hili la Vardy kwani inaonekana Leicester wamefanya counter offer kwa ile ya Arsenal ya 120,000 kwa wiki.

Pengine wameweka 140,000 kwa wiki ambayo Wenger hatoweza kulipa.
 
Duuh fans wa arsenal mnajua kujipa mahope kweli na vitetesi vya uongo na kweli, mmeshamsahau wenger eeeeeh, pigeni kelele vardy vardy mwisho wa siku mtasikia wenger kamsajili Mario Gomez kwa mkopo.
 
Majiraniii, huyo Vardy alifeli vipimo au vipi!!?

Naona simskii tena
 
Majiraniii, huyo Vardy alifeli vipimo au vipi!!?

Naona simskii tena

Vardy aliahirisha vipimo baada ya Leicester kuja na offer zaidi ya hiyo 120,000 kwa wiki waliyotoa Arsenal.

Hivyo mpaka anaondoka kwenda France bado hajatoa jibu.

Ni meneja wa England Roy Hodgson alietia ugumu baada ya kukataza usajili wa wachezaji wanaoshiriki Euro 2016 kutoshiriki masuala ya usajili wakiwa kambini.
 
Duuh fans wa arsenal mnajua kujipa mahope kweli na vitetesi vya uongo na kweli, mmeshamsahau wenger eeeeeh, pigeni kelele vardy vardy mwisho wa siku mtasikia wenger kamsajili Mario Gomez kwa mkopo.

Mkuu uwe unanisoma kwa uzuri mimi huwa siji na tetesi, bali ni taarifa za ndani kabisa.

Jamie Vardy alikwishakubali kusajiliwa kwa pauni milioni 22 siku ya Ijumaa lakini siku ya Jumamosi, Leicester wakaboresha mkataba wake ambao ulikuwa ni wa 80,000 kwa wiki.

Bado haijajulikana Leicester wanataka kumlipa kiasi gani kwa wiki.

Ni hicho tu ndio kinafanya Vardy awe na wakati mgumu lakini uamuzi ni wake.
 
Back
Top Bottom