Yeah, Uzuri wa Vardy ni English Player, wale huwa wanacheza kwa Pride zaidi, tofauti na Foreigners, so kwa Vardy kutakiwa na Arsenal ni kitu kikubwa sana kwake, haijalishi alipata mafanikio gani msimu uliopita na Lei..English players wengi wanakuwa wakiwa na dreams za kuzichezea Arsenal/Liver/United ni kama Simba na Yanga hapa Bongo.
So ilikuwa ni Easy Call kwa Wenger, Vardy hana uthubutu wa kuiturn-down Arsenal.
Lol, na wachezaji wengi sana wanasemaga ni ngumu sana kuturn down Wenger's phone call..
kitu kizuri kuhusu Vardy atacheza kwa Passion, ni kila dream ya English players kufanikiwa katika hizi Big clubs za England.