MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
lol you're comparing Icardi with Borini bro??Icard lol
Yule ni new borin
lol you're comparing Icardi with Borini bro??Icard lol
Yule ni new borin
Yeah matelol you're comparing Icardi with Borini bro??
looolYeah mate
vardy to arsenal naona sio good move bt inaezekana ni one seasonal wonder..au ni late bloomer..arsenal will be hoping vardy ni late bloomer ndomana they are forking 20mln for him...sie fans wa liver we are hoping vardy ni one season wonder so that we can laugh at arsenal...
Wapo players ambao wanaanza kudeliver ukubwani lkn
hata kama ni late bloomer sio kwa 28yrs
Na late bloomer iliyo work out ni ya zidane tu
Try watch a full game of icardi..my word the guy is avarage at everything except scoring...zero pace. Negative range of skills... halaf hata kweny scoring he is not ripping that seria A... 15 goals in 31 isnt ground breaking return considering hata borini scored 11 league goals in seria A at age of 21.....top teams haziplay with poachers who cnt create chances for themselves..but zinakua na strikers with good all round play who can score...loool
Good deal kwa arsenal..bit of a risk coz hatujui vardy ni one seasonal wonder au he will carry form yake ya msim uloisha..but in terms of what he brings,he will fit well at arsenal.
Tatizo tumemuona vardy akicheza kweny counter attacking team. Ndo ubora wake umeonekana hapo..arsenal wanaplay counter attacks at times ila mainly they are possession and passing team..
Ukicheza kweny counter attacking team. Ni speed on the break ndio inamatter zaid.n vardy is very speedy
But ukicheza kweny team ambayo inacheza heavy possession football kama arsenal striker lazima uwe na good close controll..great first touch
.hivi vitu vardy vinamsumbua.
Counter attack wana play arsenalNafikiri hujaiona Arsenal ikicheza counter attack football.
Arsenal huwa inatumia mtindo wa 4-3-2-1 ambao ulikuwa unauacha Oliveir Giroud kule mbele na mtindo huu unamfaa Jamie Vardy.
Tatizo kulikuw hakuna mshambuliaji mbadala wa Giroud kiasi cha kumfanya Arsene Wenger awe anabadili mitindo mbalimbali.
Theo Walcott nae hakuweza kuja kuwa mshambuliaji wa maana pia baada ya kupewa "opportunity2 hiyo, hivyo ni wakati wa kufanya mabadiliko.
Counter attack wana play arsenal
.but mainly sio their game kama ilivo kwa leiceter..
Tim zote zilizokua zikukutana na leiceter zilikua zinashambulia kwa kutowaogopa Leicester. Hivyo vardy had oceans of space kule mbele..when u have a space,speed matters alot.
But ukicheza na arsenal unadefend deep..huwapi attackers spaces..hapo speed ya vardy wont matter more than his first touch and close controll...na his first touch is really avarage lkn tusimuongelee sana kwa sasa vard tumpe msimu mwingine ili tujue ni one season stand au late bloomer
Tukicheza 4-4-2 Ozil atakua mzigo na underutilized.... Mzigo akicheza kama CM na underutilized akicheza kama WM.| Vardy ata-fit vipi Arsenal?
-Hili hili ni swali ambalo mashabiki wengi wanajiuliza!Leicester na Arsenal ni timu zinazocheza mpira tofauti kabisa...timu moja inacheza counter attack,nyingine inacheza tiki taka...pasi mpaka golini.TImu moja inakaa na mpira huku nyingine ikiwa na style ya kukimbiza mpira....moja inacheza pasi nyingi fupi fupi..huku nyingine ikitegemea long balls!...tofauti ni almost kama chaki na jibini!..au mbingu na nchi if you like!
-Jamie Vardy alishazoea kucheza formation ya 4-4-2 yeye akiwa mbele na partner striker (Ulloa/Okazaki) ilhali Arsenal mecheza mechi zote 38 kwa kutumia formation ya 4-2-3-1...Giroud akiwa striker pekee pale mbele.
-My guess is ..Wenger anaweza akamchezesha Vardy ktk formation ya 4-4-2...acheze pale mbele na Alexis Sanchez...waanze kuwasumbua mebeki kwa mbio zao na ubishi wao..huku wakilishwa mipira na akina Elneny,Ozil na Xhaka/Cazorla... mahojiano ya Wenger mwaka jana yanaonesha alikuwa na wazo hili kichwani...
''Style ya Sanchez ni ile ya mtu kazi..kwa kiasi fulani uchezaji wa Sanchez unafanana na wa Jamie Vardy .Naweza kuwafananisha na simba...simba akiwa anawinda ni lazima ajitahidi amkamate mnyama ndani ya mita 200...ukizidi umbali huo hamkamati tena mnyama!Sanchez na Vardy ni kama Simba...ni wauaji..wakianza kuufukuza mpira lazima wahakikishe wanaupata na kusabbisha madhara''
-Possibility nyingine ambayo siamini sana ni Vardy kucheza kama winger ktk system ya 4-3-2-1 huku mtu wa kusimama pale mbele akiwa Giroud...hili hata ktk mechi za majaribio na timu ya taifa imeonesha kukataa....
....Hili la wapi atacheza ngoja tumuachie mwalimu!...ila one thing is for sure...hatutakuwa na striker mvivu pale mbele kama Vardy atakuwa anaanza badala ya Giroud kwenye formation ya 4-2-3-1...
Okay mateTry watch a full game of icardi..my word the guy is avarage at everything except scoring...zero pace. Negative range of skills... halaf hata kweny scoring he is not ripping that seria A... 15 goals in 31 isnt ground breaking return considering hata borini scored 11 league goals in seria A at age of 21.....top teams haziplay with poachers who cnt create chances for themselves..but zinakua na strikers with good all round play who can score...
kama mlivyompata mwenye Badge ya Le championent Ajuza Zlatan IbrahimovicHongereni watani hatimaye mmepata mchezaji wenye badge ya PL cup ........![]()
![]()
![]()
![]()
kama mlivyompata mwenye Badge ya Le championent Ajuza Zlatan Ibrahimovic
mmesajili ajuza asee 35 years ni babu huyo
tetesi banaaa .... sisi tunamix sikuzote vibabu na vijana| Vardy ata-fit vipi Arsenal?
-Hili hili ni swali ambalo mashabiki wengi wanajiuliza!Leicester na Arsenal ni timu zinazocheza mpira tofauti kabisa...timu moja inacheza counter attack,nyingine inacheza tiki taka...pasi mpaka golini.TImu moja inakaa na mpira huku nyingine ikiwa na style ya kukimbiza mpira....moja inacheza pasi nyingi fupi fupi..huku nyingine ikitegemea long balls!...tofauti ni almost kama chaki na jibini!..au mbingu na nchi if you like!
-Jamie Vardy alishazoea kucheza formation ya 4-4-2 yeye akiwa mbele na partner striker (Ulloa/Okazaki) ilhali Arsenal mecheza mechi zote 38 kwa kutumia formation ya 4-2-3-1...Giroud akiwa striker pekee pale mbele.
-My guess is ..Wenger anaweza akamchezesha Vardy ktk formation ya 4-4-2...acheze pale mbele na Alexis Sanchez...waanze kuwasumbua mebeki kwa mbio zao na ubishi wao..huku wakilishwa mipira na akina Elneny,Ozil na Xhaka/Cazorla... mahojiano ya Wenger mwaka jana yanaonesha alikuwa na wazo hili kichwani...
''Style ya Sanchez ni ile ya mtu kazi..kwa kiasi fulani uchezaji wa Sanchez unafanana na wa Jamie Vardy .Naweza kuwafananisha na simba...simba akiwa anawinda ni lazima ajitahidi amkamate mnyama ndani ya mita 200...ukizidi umbali huo hamkamati tena mnyama!Sanchez na Vardy ni kama Simba...ni wauaji..wakianza kuufukuza mpira lazima wahakikishe wanaupata na kusabbisha madhara''
-Possibility nyingine ambayo siamini sana ni Vardy kucheza kama winger ktk system ya 4-3-2-1 huku mtu wa kusimama pale mbele akiwa Giroud...hili hata ktk mechi za majaribio na timu ya taifa imeonesha kukataa....
....Hili la wapi atacheza ngoja tumuachie mwalimu!...ila one thing is for sure...hatutakuwa na striker mvivu pale mbele kama Vardy atakuwa anaanza badala ya Giroud kwenye formation ya 4-2-3-1...
Vardy!! Sikupenda sana lakin atleast tuondokane na mr. Fashion, handsome boi giroud.. Huyu jamaa hapana kwa kweli katukera mnoooUsajili Updates: Jamie Vardy kufanyiwa Medical leo mchana.
![]()
Jamie Vardy
Jamie Vardy anatarajiwa kufanyiwa Medical leo mchana katika facilities za Arsenal za London Colney, zilizoko kaskazini mwa mwa jiji la London.
Taarifa za ndani zinasema kwamba Vardy bado hajatia saini rasmi lakini anatarajiwa kufanya hivyo mbele ya safari yake na timu ya taifa ya Uingereza ambayo itakuwa kesho Jumatatu kwenda France kwa fainali za Euro 2016.
Gharama halisi ya usajili inatajwa kuwa pauni milioni 20 lakini itakuwa na adds on kama appearance na matangazo.
Arsenal huwa hawasemi wazi gharama za usajili wa mchezaji yoyote yule.
Arsene Wenger mwenyewe amekuwa busy sana kuhakikisha Vardy anamalizana na ofisa wa usajili na mikataba bwana Richard Law na ofisa mtendaji mkuu Ivan Gazidis.
Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Arsene Wenger kuingia kwenye kambi ya timu ya taifa ya Uingereza na kumsajili mchezaji.
Mara ya kwanza ilikuwa ni pale katika dakika za mwisho mwisho za usajili mwezi September 2014 ambapo Wenger aliidhinisha usajili wa mshambuliaji Danny Welbeck kutoka Manchester United kwa gharama za pauni milioni 16.
Wakati huohuo Arsenal wanafanya mipango ya kusajili mchezaji mwingine wa nafasi ya ulinzi ambae bado jina lake halijatoka rasmi kwenye mfumo wa usajili na bidding.
Habari zaidi za kushtua zitaendelea kukujia hapa hapa juwakaaletu tukufu la Arsenal, stay tuned.
Vardy!! Sikupenda sana lakin atleast tuondokane na mr. Fashion, handsome boi giroud.. Huyu jamaa hapana kwa kweli katukera mnooo