Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger alishawaroga
Hongera sana chief kwa kua wewe haujarogwa naona umeamua kutusemea


Two wrong dont make it right,Mlipaswa ku-take advantage hichi kipindi ambacho timu nyingine zinaboronga (Chelsea,United,City,Liverpool ) .Naona baadhi ya mashabiki tayari mmeshazoea
Kwa nini wewe na timu yako msi-take advantage pia kwa kua Arsenal nae kaboronga pia naamini mngekua mabingwa msimu huu.
 

Sikushangai,naelewa why unaongea haya,Wenger ni master wa kucheza na akili za mashabiki wa Arsenal.
 
Sikushangai,naelewa why unaongea haya,Wenger ni master wa kucheza na akili za mashabiki wa Arsenal.

Mnasahau Lei City kapoteza game 3 msimu mzima ame-drop 6 pts kwa Arsenal na 3 kwa Liva frankly speaking jamaa walikua organized sana sielewi mnavyokurupuka eti Arsenal angetumia mwanya wa timu nyingine kuchukua ubingwa hampigi hesabu ya bingwa mwenyewe,ni cheap excuse kusema wengine walikua na msimu mbaya huku mkikomaa na Arsenal naamini mnapunguza stress tu ila wote tume-fail na Lei City wana haki ya kupongezwa kwa walichokifanya hasa kwa kuhakikisha hawapotezi kirahisi.
 
Totally blind, anyway hongereni mmemaliza juu ya Spurs
 
Ngongo see you in Europa League, once again. Mid-table teams mjipange tukutane baada ya miezi 2, 3. #WengerOut, #LVGout psyc
 
Hongera mmemaliza juu ya Spurs

Tangu nimeanza kushabiki mpira arsenal waga inamaliza juu ya spurs ss sielewi hongera yako ina maana gani, nilijua utanisifia kumaliza juu ya team yako ila bado mnadhihilisha mlivo hamzipendi team zenu yani mawazo kwa majirani 2 km wanaofurahia kutumbuliwa kwa wenzao utazani wao kuna faida wanapata
 
Siku ya leo imebatizwa jina na inaitwa St Totteringham Day yaani kwa msimu wa 21 Arsenal wamemaliza ligi juu ya Tottenham.

Mara ya mwisho Tottenham kumaliza juu ya Arsenal ilikuwa mwaka 1995.

Pamoja na Arsenal kumaliza msimu ikiwa nyuma ya Leicester City bado timu hiyoya kaskazini mwa London inatarajiwa kunyakua fedha kiasi cha paundi 101milioni zaidi ya paundi 93 milioni.

Fedha hizo zinatokana na biashara na matangazo mbalimbali ya runinga


Lakini hata hivyo kwa kumaliza wakiwa mabingwa, timu ya Leicester watajizolea kitita cha paundi milioni 25 Arsenal milioni 23.7 na Tottenham 22.5 milioni.

Kuna habari kwamba mzee safari hii ameambiwa auze kwanza wachezaji kabla ya kununua.


Mikael Arteta akitokwa na chozi kuiaga Arsenal. Arteta huenda akajiunga na Pep Guardiola katika bench la ufundi la Man City msimu ujao.


Tomas Rosicky nae akiaga rasmi wapenzi wa Gunners baada ya mechi na Aston Villa.
 
Totally blind, anyway hongereni mmemaliza juu ya Spurs

Msimu ulivyoanza AW alimsajili Cech tu na mkatamba sana umu kua hata top 4 hatugusi mlivyo wasahaulifu mmegeuka kua Arsenal alistahili ubingwa sijui mnafikiri kwa kutumia nini,ivi mnabadilisha makocha ili muwe hapo mlipo acheni mboyoyo aiseeee mlisubiri aishie nafasi ya 7 mjifanye watabiri.
Usisahau Arsenal kamaliza juu ya timu yako pia sio Spurs pekee ake hata wewe uko chini yetu kaa umu kwanza hili balaa waachie wenyewe Arsenal na wewe rudi kwako ukaone unajinasua vipi na dhwahama linalokukabili.

Jiangalie kwenye table alafu useme uko juu au chini ya Arsenal.

Happy St.Totteringham's Day 2016
For the brave nothing is too difficult #COYG....
 
Thanx much lads,inatosha kabisa kwa msimu huu sio mbaya nimefurahi tumemaliza vizuri especially kua juu ya Spurs.
Sasa najua kwa undani.
Ili tuwe tena Mabinhwa
Ni kuomba Spurs awe wa pili. Vinginevyo ndoto za ubingwa tusahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…