Poleni ndugu zangu wacha niwahi kutoa pole kabla ya watu wengine kuja na maneno ya karaha na kejeli mpira ndo huu ndugu zangu kazeni buti penye ligi yetu.
Alikuepo jordi roula barca walikua wanapigwa tu kizembe...akaja tata martino barca hakawa anapigwa tu kizembe.... Kocha ana umuhimu wake aisee ww huon madrid anavoangaika
Vipi hapa wajukwaa, mnajisikiaje baada ya kazi nyepesi ya usiku?
Baada ya mabao 2 uwanja wa nyumbani mlijua kuwa mnaenda kutalii tu ,au vipi?
Karibuni Epl na nafasi zilizobakia kugombaniwa ni nafasi ya tatu na 4 tu.
Poleni ndugu zangu wacha niwahi kutoa pole kabla ya watu wengine kuja na maneno ya karaha na kejeli mpira ndo huu ndugu zangu kazeni buti penye ligi yetu.