Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani hebu mwenye mashairi (lyrics) ya official arsnl anthem amwage hapa.

Nataka niimbe kabla ya mtanange.

Mkuu wimbo wa leo kwa mashabiki ndani ya Emirates:


To Madrid, to Madrid
We are going,

To Madrid, we will go to play,
To Madrid, to Madrid,
We are going,

WE ARE GOING AT THE END OF MAY


 
Jamani hebu mwenye mashairi (lyrics) ya official arsnl anthem amwage hapa.

Nataka niimbe kabla ya mtanange.

Here is Arsenal's anthem

And did those boots of Arsenal's team
Walk upon Highbury's turf so green?
And did they play with great esteem
The best football we've ever seen?

And with a cannon on our chest
Find More lyrics at www.sweetslyrics.com
We play with heart, mind, and zest
And we are proud to be Arsenal
In Victory Through Harmony

😀😀😀
 
Jamani leo sitakuwepo kujadili mwenendo wa game dk kwa dk ila am going out to share na jamaa hii ya kuangalizia home inakosa mvuto sometimes
 
Mkuu wimbo wa leo kwa mashabiki ndani ya Emirates:


To Madrid, to Madrid
We are going,

To Madrid, we will go to play,
To Madrid, to Madrid,
We are going,

WE ARE GOING AT THE END OF MAY



Noted, wit many thanx!
 
hayahaya timu zipo uwanjani nw wadau nadhani mtakuwepo kuwa update wanaJF ila na mashaka kuwa leo Arsenal ndo safari yao inaishia hapa..
 
niko kwenye luninga hapa arsenal leo wachezaaaaa...ila isije ikawa yaleyale ya changa twawala
 
embu angalieni mpira ulivyokuwa mtamu huo goaaaal alafu watu wanshangaa kwanini tunaipenda arsenal
 
Peasant, I am heading to Arsenal's pub....huwa nasikia raha sana hasa wanapofungwa nikiwa kwenye hiyo pub! huwa nawanunulia pints washabiki!
Hahaha, wanunulie pints hao fat arses! Naona leo hata yule jamaa anayehitaji 52 chances kufunga amefunga!
 
waacheni waingereza wamuonee wivu arsene wenger manake sidhani kama wanamchukia ni wivu tu unawasumbua na kandanda safi ya watoto wake.
 
Sijui itakuwa ni nguvu ya Pepsi mana huu moto walioanza nao balaaa kocha wa Porto ametoa macho tu..
 
_47442262_bendner466.jpg

Come on Nicklas Bendtner ... .... ....
 
I hope Masanilo hajakimbia kwenye hii thread.
 
Back
Top Bottom