McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Pole sana kwa matatizo maana unaishi kuangalia kwa jirani unasahau kua umejenga mabondeni duh noma sana.Leo mmuangalie Chelsea anavyoaga nyumbani kwake, kisha next week na ninyi muage mashindano rasmi.
Duha afadhali kama iko ivyo nilipata mashaka sana.Hakuna serious injuries according to AW
Mimi sio shabiki wa Man U wewe!Pole sana kwa matatizo maana unaishi kuangalia kwa jirani unasahau kua umejenga mabondeni duh noma sana.
sijasema kua wewe ni Man Utd lakini,kwiiii kwiii wewe ni shabiki wakutupwa wa Leicester City.Mimi sio shabiki wa Man U wewe!
sawa...Jiandaeni humu ndani, safari wiki ijayo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KENGE nyie mshanichania mkeka mnashindwa ongoza hata kwa watford SASA SUBIRINI JUMATANO nilipize kisasi
Mkuu hatumtaki huyu atatusaidia nn sasa? Atamweka bench nani pale?Barcelona tukimchukua OZIL litakuwa bonge la usajili. Coz midfielder itakuwa vizuri sana kuisaidia Iniesta. Itakuwa bonge ya replacement ya Xavier