Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,397
- 17,784
Siyo kikombe tu, wasipokuwa makini usishangae wakakosa top 4. Sababu kiporo cha city akishinda anamshusha nafasi ya nne. Hapo kuna hammer na united wanakuja kwa kasi ya ajabu....hii EPL hatubebi mazee, tusijipe matumaini hewa
Arsenal hawatoki Top 4 haitokeiSiyo kikombe tu, wasipokuwa makini usishangae wakakosa top 4. Sababu kiporo cha city akishinda anamshusha nafasi ya nne. Hapo kuna hammer na united wanakuja kwa kasi ya ajabu....
NaiOna arsenal ikiishiwa pumzi.
Cc: Wacha1
royal baby yupi maana wote ni ma baby kwa mama zao CHARLES, WILLIAM au GEORGE
Tatzo lako unajiaminisha sana, mambo yakienda mrama, hizi kauli mnazisahauArsenal hawatoki Top 4 haitokei
Afu kaangalie tena Fixture ya United ilivyo ngumu kupita maelezo utaona kuwa manure kuna % kutokuioa Top 4
Westham wataishia huko nje....Run ins za mwisho ndo Wakubwa wanajipanga vyema pale juu
Mkuu arsenal mbovu utakimbia jukwaa mda si mrefusasa wakuu leo nashinda jukwaani dakika 90!....
I hope vijana hawatatuangusha....
COYG!
Haaa haaa Asante sana mkuu kidogo The Tigers wale kiganja leo,ila tuna msala mpya wa majeruhi watatu game ya leo tu na tumebakiza siku 7 tuelekee machinjioni duh Mungu nusuru.Hongereni wagonjwa mmekuwa discharged leo...
Hakuna serious injuries according to AWHaaa haaa Asante sana mkuu kidogo The Tigers wale kiganja leo,ila tuna msala mpya wa majeruhi watatu game ya leo tu na tumebakiza siku 7 tuelekee machinjioni duh Mungu nusuru.