Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dawa ya hao baca ni chelsea peke yake hakuna mwingine

Hahahaaaa wachekesha kibangaaa....kuifunga man city 4 ndio mmejiona mpo juu wakati mastaa wengi cku iyo hawakuemo, Aguero,toure,silva,raheem,de brune nk..... VIVA BARCA weka mbali na watoto
 
Naweka hii post kwa matumizi ya baadae.......
 
Labda muwekeze hapo lakini EPL ni 4th place sasa sijui ndio kuwekeza kwenyewe
We mpaka tukusambaratishe jumapili ndo utapotea hili Jukwaa hakuna namna

Na mlivyo na injury list kama Mmekutana na Earth quake

game ifike hii jamani
 
We mpaka tukusambaratishe jumapili ndo utapotea hili Jukwaa hakuna namna

Na mlivyo na injury list kama Mmekutana na Earth quake

game ifike hii jamani
Mshapoteana nyinyi....mwisho wenu huwa ni huu, mnafungwa na Barca mnatolewa mnachanganyikiwa! We have nothing to lose,pressure is on you! Njooni OT mchukue ushindi. Na mna FA CUP replay vs Hull City,replay vs Barcelona,Fa Cup quarters all within a month or less!
 
We lost it...we are focusing now to LVG sacking mission on sunday
Nilishatoa assessment yangu kwenye hiyo game nasubiri matokeo tu,tunaomba waambie @rubaman,Wacha1 warudi jukwaani haya ni matokeo ya kawaida kwa Arsenal
 
Nimeipenda hiyo you have nothing to loose

LVG anasema Top for still ni possible kabisa....

Hizo fixture zio issue kuna depth ya kutosha kudeal nayo Arsenal sio Lester kuwa kikosi ni watu 11 tu...
 
Matokeo ya jana sio jambo la ajabu kwetu...ila kama yatatokea jumapili litakua jambo la ajabu sana duniani
 
Sikubaliani na wewe kua kupigwa na Barca kutaifanya Arsenal wapoteane ki-uhalisia jana dunia ilijua kua Arsenal tulikua underdogs ni kweli maumivu ya kufungwa yapo lakini sio kama yale ya Monaco bado naamini Arsenal watakua focused kwenye ligi naomba na hii coment itunze pia kwa matumizi ya baadae hasa baada ya game yetu pale OT hakika utakubali mziki ambao utapigwa siku hiyo.
 
Mashabiki wa Arsenal mko flexible sana kubadilika Prof Wenger anaweza sana kucheza na akili zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…