Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Duh Ulaya wanapambana na wamihaji haramu kwa nguvu zote ila nahisi umu leo idadi ya wamihaji haramu inatishia maisha.
Asante Barca umesahaulisha matatizo ya wengi hata wale waliokata ring leo wako road wanasumbua,let's go Gooners and Gunners tuwaonyeshe kila ambacho hawakifikirii
 
Tatizo letu Arsenal huwa tunawapa Barcelona too much respect, hawa ni kuwagongea a typical English game, bahati mbaya hatuchezagi English game, ila Barca leo anakaa, 3-1 kwao wanaenda kutupiga 5-3, tunasonga mbele on away goals.
 
That's good, napenda sana watu wenye confidence kama yako, walishafungwa na Bilbao, celta Vigo na waka hustle sana kwa atletico, why not you? You can make it.

Go gooners nipo kwenu leo aisee, all the best.
 
Duh nimehakiki ID yako zaidi ya mara 3 mkuu,ni weww au akaunti yako imenyakuliwa?haaa haa thanks mpwa ngoja tusubiri muda tukomae na hawa wendawazimu wa Spain.
 
The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch

Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
Wadau, nitapataje kitufe cha STYLE CHOOSER humu JF ili niweze kuondoka kwenye matumizi ya DESKTOP style niende kwenye WAP style? mbona kile kitufe cha kubadili STYLE sikioni tena? anayakiona tafadhali asaidie kunielekeza kilipohamisiwa tafadhali. hii desktop style inanizingua sana.
 
Tatizo letu Arsenal huwa tunawapa Barcelona too much respect, hawa ni kuwagongea a typical English game, bahati mbaya hatuchezagi English game, ila Barca leo anakaa, 3-1 kwao wanaenda kutupiga 5-3, tunasonga mbele on away goals.

Na cha muhimu pia ni Arsenal kuhakikisha wanamiliki asilimia 30 ya mpira na wakifanyahivyo huku wakiwa wanawazuai jamaa eneo lao basi kuna ahueni na huenda wakaenda hata mapumziko 0-0.

Tatizo kasi yao ya uchezaji Messi na Neymar nakule mbele Suarezndiotatizo lakini Gabby amekosekana sana maana angeweza kumkabili Suarez vilivyo.

Mertesacker ana wajibu wa kuacha kuhamaki na ahakikishe anawasiliana vizuri na boss.

Kwa kifupi Arsenal leo itacheza kama ilivyocheza na Bayern Munich au Man City lakini bila kuachia sana ball possession kwa Barca.

Tusubiri mtanange mimi sasa ndio najiandaa kuelekea pub.
 
Unaenda Pub mapema yote hii?
 
Tatizo letu Arsenal huwa tunawapa Barcelona too much respect, hawa ni kuwagongea a typical English game, bahati mbaya hatuchezagi English game, ila Barca leo anakaa, 3-1 kwao wanaenda kutupiga 5-3, tunasonga mbele on away goals.
Punguza viroba Mkuu.
 
That's good, napenda sana watu wenye confidence kama yako, walishafungwa na Bilbao, celta Vigo na waka hustle sana kwa atletico, why not you? You can make it.

Go gooners nipo kwenu leo aisee, all the best.
Yangekuwa ni maajabu ya namna gani shabiki wa Man U uipende Barca. Sasa subiri hapo England muone moto wake leo.
 
Mission Impossible

2735632.jpg

2735642.jpg
 
Na cha muhimu pia ni Arsenal kuhakikisha wanamiliki asilimia 30 ya mpira na wakifanyahivyo huku wakiwa wanawazuai jamaa eneo lao basi kuna ahueni na huenda wakaenda hata mapumziko 0-0.

Tatizo kasi yao ya uchezaji Messi na Neymar nakule mbele Suarezndiotatizo lakini Gabby amekosekana sana maana angeweza kumkabili Suarez vilivyo.

Mertesacker ana wajibu wa kuacha kuhamaki na ahakikishe anawasiliana vizuri na boss.

Kwa kifupi Arsenal leo itacheza kama ilivyocheza na Bayern Munich au Man City lakini bila kuachia sana ball possession kwa Barca.

Tusubiri mtanange mimi sasa ndio najiandaa kuelekea pub.
Naona unaeleza utadhani ni kazi rahisi Arsenal kufanya hivyo, mna nani wa kuzuia Winga za Barca zisicheze akina Messi na Neymar, najua upande wa viungo ni lazima mpotee.
 
Wadau, nitapataje kitufe cha STYLE CHOOSER humu JF ili niweze kuondoka kwenye matumizi ya DESKTOP style niende kwenye WAP style? mbona kile kitufe cha kubadili STYLE sikioni tena? anayakiona tafadhali asaidie kunielekeza kilipohamisiwa tafadhali. hii desktop style inanizingua sana.
Jaribu kuGoogle.
 
Dear Haters.
This is Arsenal.
1.No English club had Beaten Real Madrid at Bernabeu..WE DID.
2.No English Club had Beaten Inter Milan at San Siro...WE DID.
3.No English Club had Ever won the EPL without losing a single match...WE DID.
4.No English club had Ever won the Title at their Rivals ground..WE DID at Old Trafford,White Hart Lane and Anfield.
5.No player ever scored aganist 20 different clubs in the EPL,Robin Van Persie Did.
6.No English Club had a comeback and win a goal down on four consecutive occasions.WE DID.
More to come!
WE ARE ARSENAL
And you have never won ECL
 
Back
Top Bottom