Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Ukweli ni kwamba leo ilitakiwa tushinde mabao zaidi ya saba(07),Bendtner kafanya ujinga sana leo...Hata hivyo hongereni sana Arsenal fans...Tuombe Mungu tuendelee na ushindi kwa kila mechi iliyobakia......YES WE CAN............
Vipi wewe sio Arsenal? teh teh .....
jamaa leo alikuwa pacha la adebayor big time.Niklas Bendtner 😱😱🙁😕
Nafasi 6 za wazi!!! Sijawahi kuona hii.
mnong'ono manake sitaki wanisikie wenyewe," huko nyumba pili wanapelekeshwa nako sema ndio hivyo ng'ombe wa maskini hazai lol.sema watoto(wolves) wakikaza wanaweza kupata chochote."alaaa 😀 mambo yenda yakijiongeza eeh? game ya leo ilinipita pembeni, nimekimbilia kucheki updates hapa naona Wacha ushafanya vitu vyako, saaaaaaafi sana...
enzi zile tulikuwa tunasema 'warie tuuuu!!!!'...pointi sawa na Chelski sasa, ni kicheko tu 'hamadi kibindoni!'
wachezaji wetu wanatakiwa wawe more committed kama wanataka kuchukua kombe mwaka huu.chances nyingi sana tunazipoteza ambazo zinaweza kutu-cost mbeleni.
pigo kubwa sana hili mkuu.saa nyingine najiuliza kwanini inatokea kwetu sisi kila saa? game tisa zimebaki pl majeruhi saa hizi noma.Duh yaonekana tutamkosa Fabregas j'nne
Wenger - Fabregas has a hamstring problem
On Cesc Fabregas' injury...
"He has a hamstring problem and we don't know how big the damage is yet because it is too early. We'll see tomorrow or Monday. We have to make a late decision over whether he plays on Tuesday, certainly. It is the same hamstring [he hurt against Aston Villa earlier in the season]."
Dua ya kuku haimpati mwewemnong'ono manake sitaki wanisikie wenyewe," huko nyumba pili wanapelekeshwa nako sema ndio hivyo ng'ombe wa maskini hazai lol.sema watoto(wolves) wakikaza wanaweza kupata chochote."
Mtamkosa Fabregas, lakini si mnaye Bendtner..lolz