Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Geroud kakosa goli,
safi sana waendelee kukosa maana wamebebwa
 
Danny Welbeeeeeeeeeeeeeeeck
Arsenal 2-1 up

Wesilewski alimkwatua Nacho Monreal na ingekuwa ni muda wa kawaida Wesilewski angepewa kadi nyekundu,

Ozila akapewa jukumu la kupiga mpira wa adhabu na akampasia vizuri mpita huo ulomkuta Danny Welbeck ambae akaupiga kwa kichwa na kumshinda kipa maridadi wa Leicester Jaspal Schimechel.
 
Aisee, Leicester wataumia sana kufungwa hivi, ni afadhali wangefungwa dakika za kawaida kuliko moja ya mwisho
 
Back
Top Bottom