Wakumbushe mkuu!!!Hivi mnakumbuka mna game na barca
Hawana wasiwasi wanajua watapigwa namba yao ile ile......4-0Hivi mnakumbuka mna game na barca
ding dong.....khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
Ahahahahahahahahaha Daaah, Mkuu unadharau wewe!!Hawana wasiwasi wanajua watapigwa namba yao ile ile......4-0
Ndio hali halisi....Ahahahahahahahahaha Daaah, Mkuu unadharau wewe!!
Ahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!Ndio hali halisi....
Mashabiki wa Arsenal,Utd,Chelsea,Liva wote tuko ivyo sio Arsenal pekee kwani hawa Utd waliojaa umu si juzi walikua wanapayuka LVG asepe mbona wamesahau na wanashangilia kama wanaongoza ligi like wise rent boys nao ni ivyo ivyo.Mashabiki wa Arsenal bana, leo wanamlaumu na kumsema Arsene Wenger, hawataki kumuona lakini wakishinda mechi mbili tatu, wanasahau yote wanaanza kumsifia tena. Hawajui kila mwisho wa msimu nafasi yao ni ile ile na kosakosa ubingwa wao. Kama msiposhinda EPL sasa, hamtokuja kushinda MILELE.
Wenger anafanya hivyo kwa zaidi ya miaka 10Mashabiki wa Arsenal,Utd,Chelsea,Liva wote tuko ivyo sio Arsenal pekee kwani hawa Utd waliojaa umu si juzi walikua wanapayuka LVG asepe mbona wamesahau na wanashangilia kama wanaongoza ligi like wise rent boys nao ni ivyo ivyo.
Na hilo la kubeba EPL Cup?Mashabiki wa Arsenal,Utd,Chelsea,Liva wote tuko ivyo sio Arsenal pekee kwani hawa Utd waliojaa umu si juzi walikua wanapayuka LVG asepe mbona wamesahau na wanashangilia kama wanaongoza ligi like wise rent boys nao ni ivyo ivyo.
Na huo ndio utofaut. You nail itWenger anafanya hivyo kwa zaidi ya miaka 10