Mashabiki wa Arsenal bana, leo wanamlaumu na kumsema Arsene Wenger, hawataki kumuona lakini wakishinda mechi mbili tatu, wanasahau yote wanaanza kumsifia tena. Hawajui kila mwisho wa msimu nafasi yao ni ile ile na kosakosa ubingwa wao. Kama msiposhinda EPL sasa, hamtokuja kushinda MILELE.