Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Khe khe khe khe ndo mpira huo, Bitoz njoo hukuRambo leo hakucheza vizuri, kapoteza mipira mingi sana, Theo alikuwa AWOL, Flamini alikuwa too much infront yeye sio mfungaji alikuwa anatakiwa kusaidia kumiliki katikati. Ngoja Coq amerudi sasa this match was too quick for him.