barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Why is awalcott a captain today? Can somebody tell me??
Why is awalcott a captain today? Can somebody tell me??
Did I read it right? "Shambulio la kwanza dakika ya 34 dhidi ya timu iliyo nafasi ya 14?!? What is happening here?!?Dakika ya 34 Arsenal wanafanya shambulizi la kwanza langoni mwa Chelsea na Walcott anapiga shuti linadakwa na Thibat.
Mapungufu ya mpila,refa anawez kuia timu na akakiri baadaye hakuona vizuri,lakini timu imeumia red card ya metersaker inautata mkubwa sana,hakuna mahari walipogusana
Mkiwa 10 na Giroud hayupo huwezi kuwa unajaribu mashuti ya mbali.No shot on target for gooners!!