Stable-negro kwema?
Tupo mkuu, usiwe na shaka.Wenyeji wamekimbia jukwaa utawaona kesho hapa na visingizio kibao
Tupo mkuu, usiwe na shaka.
Hii mechi tumepoteza sehemu ya kiungo, na Chelsea walikuwa na Fabregas, Matic na John -Obi Mikel.
Hawa walitawala sehemu hiyo ambayo ilikuwa na Mathieu Flamini peke yake. Aaron Ramsey na Mesut Ozil wangeweza kurudi kusaidia kupunguza kasi ya Fabregas lakini walikuwa wakienda sana mbele.
Si mbaya inagwa kuna "dent" lakini Francis Coquelin anarudi na tutarudi kuwa timu ya siku zote.
Kesho watatoa majibu kama ya kaka yangu ushindi wa watu 12 kwa watu 10.....kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeShikamoo kashengo, rubaman mambo vipi kaka
hapa niko tofauti na wewe kidogo mkuu, ukweli ni kwamba tumefungwa kutokana na kutokuwa na watu makini wa kutumia nafasi adimu tulizotengeneza....to me the game was over after giroud sub
Haha pole yaoWenyeji wamekimbia jukwaa utawaona kesho hapa na visingizio kibao
Giroud alitolewa kwa sababu Wenger anadhani kwamba kwa kuwa Giroud aliumia "ankle" kwenye mazoezi siku ya Ahamisi, basi angeweza kupigwa kiatu na ikaishia kukaa nje kwa muda mrefu na huku Danny Welbeck akiwa badi hajarudi.
Pili, Wenger alitaka Walcott ndie awe mshambuliaji wa pekee kule mbele kwa kutumia kasi yake, ingawa Walcott hakutimiza malengo hayo na akatolewa na akaingia Oxlade Chamberlain.
Lakini inabakia kuwa fact kwamba kwa kuwa Wenger hataki kusajili mshambuliaji wakati huu wa majira ya baridi, basi anataka awe makini na wale washambuliaji alio nao.
Ila leo Mathieu Flamini amepoteza nafasi yake ya mlinzi kiungo na Wenger alikosea sana kutomuingiza Thomas Rosicky au Mohamed Elneny kusaidia kupunguza mashambulizi ya Chelsea hasa kipindi cha kwanza alipotoka Mertesacker.
Angalia tena mpira kipa wa Chelsea alikuwa holiday na viungo wao watatu Mikel, Matic, Willian, na Fabregas walicheza kwa raha sana.