Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii game tutashinda second half kwa magoal mawili ya. Haraka haraka dakika za nenda kwa buriani.
 
Kama kungekuwa na skauti wa Arsenal anachungulia humu ningemwomba amchukue Sammata au hata ampigie debe tu maana uwezo wa Mbwana ni Zaidi hata ya Campbell na kama muda unavyoenda huyu jamaa anakwenda kuwa class ya Henry na Etoo.Natamani nimuone na uzi wetu.
 
Hahahahaa

Samatta mtamu ila ranking za taifa letu atachelewa sana kufika pale juu. Mara nyingi wachezaji wazuri kutoka nchi zetu hizi wanakuwa overlooked kwa sababu ya vigezo kama hivi hata kama talent ipo bado utabaguliwa tu.
 
Arsenal walimuulizia kipindi fulani lakini katumbi aliwambia bei yake ni sawa na giroud, du!
 
...akiwa mzuri atachukuliwa tu,provided anapata kibali toka sehemu husika,km inavyotokea kwa Elneny.
 
Arsenal walimuulizia kipindi fulani lakini katumbi aliwambia bei yake ni sawa na giroud, du!

Siku Samatta akiwa Kwenye kiwango kizuri ulaya hutashangaa huyu babu anasema"Nusura nimsajili Kipindi flani,,najuta kwa nini sikumsajili"" ila ukabila umemponza sana.
 
Hahahahaa

Samatta mtamu ila ranking za taifa letu atachelewa sana kufika pale juu. Mara nyingi wachezaji wazuri kutoka nchi zetu hizi wanakuwa overlooked kwa sababu ya vigezo kama hivi hata kama talent ipo bado utabaguliwa tu.

Hivi Gabon mpaka wakamtoa Aubameyang ni rank au ni kiwango kizuri cha huyu Aubameyang!!! Kwangu huyu babu umri wake na ukabila wake vimetosha sasa akae pembeni awe mshauri tu wa ufundi,,ila kocha era yake ilishapita.
 
Aubemayang amezaliwa France na ameanzia soka kwenye academy ya AC Milan
 
Arsenal into 4th round of FA cup Arsenal 3-1 Sunderland.... Tutarudisha kikombe chetu na kuongezea vingine 2...
 
Joel Campbell celebrates after a sharp finish brings the equaliser
for the hosts against Sunderland

Rambo ..... .. ..

Aaron Ramsey with his trade mark celebration 2 up for the Gunners, Bellerin assist

Nobody could live with the Ox

Gibbs tries from the right flank ...

OG anafunga biashara ... ..

Kama kawa ... ... .COYG .... Ding ... Dong
Next EPL away to Loser Fools J5
 
Who's our next victim in the fourth round FA Cup ? Few hours away we will find that out.
 
FA cup next round .... Gunners at home Vs Burnley .... .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…