Kabla ya Aubameyang kutua Dortmund, Wenger aliwahi kumfukuzia kinafki km anavyofanyaga ila akapita kushoto leo hana budi kula matapishi yake kwakuwa now hela IPO....!
Kuna watu hawamfahamu Wenger vizuri,yani atoe £ 60m kwa mchezaji mmoja Sidhani kama AW anaweza fanya hata kama atapewa hela
...tunashinda tatu hapo,tuta draw moja tu na stoke city.
Hii ndo Arsenal na Wapenzi wake.
Hata mm natamani matokeo mazuri ila team yetu inatuangusha sana tunapotarajia itutendee jambo.
COYG
kama hutojali napenda nikuulize ni nn hasa kilikuvutia kuwa mshabiki wa Arsenal....huenda labda ulivutiwa na jina linavyotamkika vizuri mkuu; sijawahi kuona positive side yako kwenye hii timu yani....kinachonshangaza zaidi we ni king'ang'anizi sehemu ambayo haikupi furaha

The Beautiful side of our sex football.
Na kuwa negative kwa upupu wa team haimaanishi siipendi.
Kifupi for some years now Babu's intelligence is drying up.
Tunahitaji mawazo mbadala na sio kuendelea kumkumbatia babu, ameishiwa hana jipya.
You are possibly arguing with a teenager...a mid 2000's arsenal Fan

huyu jamaa ni pessimist ile mbaya
Hivi kwa nini Le Prof asimmulike Lacazette dirisha hili dogo? Yule striker wa Lyon? He's 24 na ni natural striker!Hakuna Deal la Pierre aubemiyang lets cool down our Hopes inawezekana Huko summer na kumwaga £60mil kwa hii january sio jambo jepesi
Rabiot labda Summer haingii akilini kwa Wenger kuwasajili Midfielder wawili tena Especially RABIOT ambaye anakimbia BENCHI kule PSG anataka Kucheza ili aitwe France ikifika EURO 2016 na Arsenal hawezi kufika na Kucheza hii deal haipo....
Arsene Jana kasema Santi na Coq watarudi by mid February 2016, Coq kashaanza Kukimbia, santi anapata Nafuu haraka kuliko ilivyodhaniwa
So ni Elneny ambaye wenger kasema kama navyomnukuu hapa
The deal is complicated a little bit,” said Wenger. “We work hard on it, we hope in the next two to three days we get to the end of it.
He added: “The only [signing]? I don’t rule out anybody else. He [Elneny] will at least be one of the signings and comes into an area where we are short at the moment.”
Chanzo : Arsenal.com
kama kuna mwingine itafahamika mpaka dirisha likifungwa....

Hivi kwa nini Le Prof asimmulike Lacazette dirisha hili dogo? Yule striker wa Lyon? He's 24 na ni natural striker!
Usitake nacheka
Pengine naweza kuwa mkongwe kwenye ushabiki wa team pendwa na umri kama upo chini ya 40 uniombe msamaha kwa kuniita teenager
Hivi kwa nini Le Prof asimmulike Lacazette dirisha hili dogo? Yule striker wa Lyon? He's 24 na ni natural striker!
Hivi kwa nini Le Prof asimmulike Lacazette dirisha hili dogo? Yule striker wa Lyon? He's 24 na ni natural striker!
Wakuu lecazzate msimu wa msimu huu sio yule wa msimu uliopita, labda kwa sababu hata timu yake ina struggle sana kwenye ligi lakini ameporomoka sana kiwango chake tofauti na msimu uliopita tulivokuwa linked nae sisi hata nyie, dirisha hili dogo anahusishwa sana kwenda Newcastle kwa £20 mill.dirisha dogo kupata mchezaji hasa mshambuliaji ni ngumu sana, labda umtoe timu ndogo inayoshindwa kuzuia wachezaji wao kutokana na pesa
katikati mwa msimu LYON wakimuuza Lacazette watamweka nani kama mbadala? unaona wazi deal la hivyo ni mpaka summer maana wanaweza kupata replacement, na wana malengo yao kuelekea msimu unavyomalizika wanaanzaje kumuuza nyota wao? kuna UGUMU KULIKO TUNAVYONYANI
Wakuu lecazzate msimu wa msimu huu sio yule wa msimu uliopita, labda kwa sababu hata timu yake ina struggle sana kwenye ligi lakini ameporomoka sana kiwango chake tofauti na msimu uliopita tulivokuwa linked nae sisi hata nyie, dirisha hili dogo anahusishwa sana kwenda Newcastle kwa £20 mill.
Sidhani kama mkimchukua huyu ataweza kuwasaidia kwenye mbio zenu za ubingwa. He is more than average