Mkuu hao wachezaji wote ulowataja Wenger aliwasajili wakati wa shida yaani uwanja mpya ulipokuwa ukijengwa.
Tangu Arsenal ihamie Emirates wanajitahidi kusafanya usajili waa maana kama wa Mesut Ozil na Alexis Sanchez.
Wenger huwa hapendi kufanya usajili mkubwa mwezi January isipokuwa wakati wa summer.
Wewe subiri utaona usajili wa mwaka huu mwezi Juni /Julai,maana wanaondoka Flamini, Rosicky na Arteta atabakizwa aje kuwa kocha msaidizi.
Jaribu kumwelimisha kuwa wakati tunanunua Mediocre players kama Squilaci haikuwa Coincidence
labda atakulewa
Hebu linganisheni na gaharama ya hayo magarasa tulipigwa ngapi.
Leo hii linganisheni na gharama ya kikosi cha Leicister hakizidi £21M lkn sisi vilikuwa vinazidi thamani hiyo.
Tuache kusingizia financial constraints kwa failures zetu.
Lawama iwe kwenye ambitions za Board kisha matarajio yetu wapenzi na washabiki yanaharibiwa na Mwalimu.
Hebu linganisheni na gaharama ya hayo magarasa tulipigwa ngapi.
Leo hii linganisheni na gharama ya kikosi cha Leicister hakizidi £21M lkn sisi vilikuwa vinazidi thamani hiyo.
Tuache kusingizia financial constraints kwa failures zetu.
Lawama iwe kwenye ambitions za Board kisha matarajio yetu wapenzi na washabiki yanaharibiwa na Mwalimu.
Leicester hajabeba ubingwa bado na hatoweza.....
kwa Taarifa tu....tulifika christmass 2007- 2008 tukiwa na 43 points baada ya game 18 bila kufungwa game yeyote mpaka muda huo kwa kikosi hicho hicho cha kuunga unga unachosema na financial Constraints ziko mbele yetu
eduardo akavunjwa mguu pale birimingham msimu ukaisha....
ikiwa suala ni kuwa Top christmass we have been there once tena convicingly
Sasa nadhani tunaongea lugha zinazofanana kidogo.
Tuache kusingizia financial constraints
Manager anatakiwa kuwa na Plan A B and C za game approach kitu ambacho naona Babu umri umetaradadi na haezi kuapprocha kwa style tofauti tofauti kulingana na Mpinzani wake.
Tumefika hapa tulipo kwa ajili yake.
He has got positives….. Ametujengea kiwanja kwa own means sio za tucoons
He has his negatives too….. Ametunyima majombe kwa miaka 10 na kuifanya team isitishe tena mbele ya miamba ya soka
Kwa hiyo Babu tunamtaja kwa mazuri yake na Mabaya yake pia haipendezi kuyatenganisha.
Na hukana maisha yasiyo na mwisho pia
@kashengo
Pole sana naona unatumia nguvu kumuelimisha swahiba naomba asubuhi nikiamka nije nikusaidie ila uyo jamaa kanifanya nicheke alfajiri hii kwa comments zake.
wenger sio kwamba hakosei....
Ndo maana hatukatai kuwa ana short comings zake...
ila ebu fungua akili yako kidogo, kwanini kuanzia 1996-2005 alikuwa na kikosi ambacho ana kimaintain
kikosi imara akiweza kupata Talents kibao toka kila kona, hakuna mediocre players na Kuanzia 2006 baada ya kuhamia emirates aanze kukuza Teenagers? na Kununua sana kwa Mikopo na kutegemea sana Academy, on top of that
ilifikia mpaka kuleta watu wameishachoka kama Sylivester, Sol campbell (jan 2010) jens lehman kutoka Retirement kurudi tena 2011
aisee hio sio COINCIDENCE ni kitu kinazuia....
huwezi kuuza Ade,Kolo,Hleb,RVP,Cesc,samir nasri song kila summer unatengeneza timu UPYA ukabeba makombe
Moja ya msingi mkuu wa kuwa na TIMU BORA NI STABILITY nakuhakikishia 2006 mpaka 2012 hakukuwa na stability kbs pale
Na vipi kuhusu Chicharito nasikia Prof anamuhitaji.
Post yako Mkuu Ndefu sana na nzuri kuisoma hasa kipande cha Stability.
Lakini naomba unijibu maswali mawili Madogo
1. Chanzo cha mapato ya team ni kuuza wachezaji!?
2. Nini faida ya uwekezaji wa Bilionea Silent Stan ambae kila mwaka anakula gawio tena Nono.
Wakati wawekezaji wenzie wanainject cash kwenye team yeye anavuna pesa.
Hii issue ya pesa imekuwa kisingizio kwa wafuasi wa Wenger kutobeba ubingwa,Arsenal mara nyingi wamekosa ubingwa kwa approach ya Wenger kwenye mechi nyingi hasa big mech siku hizi ameanza kubadilika ndio maana anashinda angalia alivyoshinda dhidi ya ManUnited,ManCity,BayernUnaposema ametunyima makombe in 10 years, wakati ukijua FUND hazikuwapo hakuwa na uwezo wa kukaa na nyota hata ku compete kuwapata unashangaza maana hii nayo contradiction
ufahamu kuwa so long as Hakukuwa na fund za ku compete na likes ya manure, City na Chelsea Only wali target a Top four and a "bonus cup" kama ingetokea
Ubingwa unaubeba baada ya kuwekeza na kuchanganya na Talents ulizonazo mzee (kitu kinachofanyika) kuanzia miaka miwili mitatu hapa
Hivi nikuulize huoni trend imebadilika sana unaweza fananisha Arsenal hii na kuanzia 2008 mpaka 2012?
arsenal ya kila summer mnauza Key players wawili kwa shinikizo la Deni na kwa kuwa hamuwezi kumzuia (hakuna Pesa) ??