Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani wewe unamkosoa Wenger?Una utaalamu gani wa kujua kwamba Wenger ana mapungufu ambayo Guardiola hana? Guardiola ni kocha aliyekuta timu zipo ready made mifano ya Barca na Bayern inajieleza wazi. Nitamheshimu kama atajenga timu kama Wenger.Wenger aliikuta Arsenal inacheza butua butua Mungu yupo mpaka leo imekuwa timu inayocheza kandanda la kueleweka. Huwezi kujua thamani ya kitu au mtu kikamilifu mpaka umkose au ukikose. Mwisho football ni lazima timu ama ishinde, kutoka sare au kufungwa. Tatizo la mashabiki/makocha tunakosoa timu inapofungwa tunasahau kuna matokeo mengine.

This are loosers mind.
Ur settling for less
Babu is not delivering anymore.
He has to go
 
Mkuu, mimi nimemwona Arsene Wenger akiingia Arsenal mwaka 1998 na mpaka leo nikiwa mpenzi wa Arsenal ninaelipa ada ya uanachama kila mwaka nina haki ya kukosoa timu inapofanya vibaya.

Ukosoaji wa wapenzi wa mpira wa ligi kama hii ya Uingereza (si mashabiki) naomba tuelewane kwenye hii, unaendana na uwezo wa wapenzi hao kufanya analysis pale unapokuwa unashuhudia mchezo wewe mwenyewe.

Meneja Wenger alipaswa kupumzisha baadhi ya wachezaji jana na hasa Mathieu Flamini na Joel Campbell. Flamini hawezi kucheza mechi nne mfululizo kwa umri wake na Campbell pia.

Jana alipaswa kuangalia kwamba Southampton walikuwa na watu wenye nguvu (Wanyama) na kasi Saido Mane na Shane Long.

Southampton waliweka wachezaji wanne nyuma, wanne katikati na kule mbele wakawaacha Shane Long na Saido Mane.

Arsenal wanapokutana na mtindo huu wa 4-4-1-1 wa Southampton ambao mwaka jana walifanya hivyohivyo basi wewe kama meneja ni lazima utakuja na plan A na B za kuwathibiti timu inayoshika nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi.

Lakini Arsenal jana walizuiwa kucheza mpira wao wa kawaida na ikawa inaonekana dhahiri kwamba Aaron Ramsey na Mathieu Flamini hawawezi kumzidi nguvu Victor Wanyama na kundi lake, pia kasi ya Saido Mane na Shane Long ilikuwa ni zaidi ya uwezo wa Per Mertesacker.

Hivyo basi pale katikati angeanza na Calum Chambers ambae alikuwa yupo fresh na pale nyuma angeanza na Gabby ambae angesaidiana na boss Koscielyn kuwathibiti Southampton na game lingeweza kwenda 0-0 mapumziko. Kipindi cha pili ndio unarudi tena kwenye timu yako ya kawaida kutafuta ushindi, hivyo baadae kipindi cha pili angemwingiza Mertesacker na Flamini kudhibiti hali ya mchezo huku wakitafuta goli moja tu.

Nimetaja tofauti ya Wenger na Guardiola si kwa kumwangalia chini mzee wetu ila ni katika kutanabaisha tofauti kwenye mbinu "tactics".

Guardiola ana mbinu ya kucheza na msingi wa P tatu yaani passing tha ball (Play),keeping the ball (possession) na staying in your zone (position).

Arsenal waliweza kutumia mbinu hii dhidi ya Man City na wakawa wanafanya counter attack kwenye kuvunja mchezo, lakini mbinu hii huwezi kuitumia ugenini inabidi ucheze mtindo wa kawaida wa 4-4-2 ambao ndio unatumiwa sana na timu kama Leicester, Watford na Bournemouth na ndio unaona wanashinda wakicheza ugenini kwenye baadhi ya mechi.

Ila haizuii "facts" kwamba Wenger ni mmoja wa mameneja wa kiwango cha juu kabisa duniani, kwani aliwakuta wachezaji kama Tony Adams akiwa ni mnywaji bia wa kupindukia na akabadilisha kila kitu mpaka aina ya chakula wanachokula wachezaji na hawali tena chips na samaki.
 
This are loosers mind.
Ur settling for less
Babu is not delivering anymore.
He has to go

Baba unaposema babu is not delivering unamanisha nin?

Maana ebu tuwe serious all these years (11 years) hukuwa unajua kuwa ilikuwa ni transition? with Tight financial restrictions?

ebu nambia kocha gani kwa Financial restrictions walizokuwa nazo arsenal na kulazimika kuuza key players wake ANGEKUPA HATA HIYO TOP FOUR?

mifano iko timu zimewekeza sana for years kama liverpool TOP FOUR kwao tu ni Mbinde, manure nae anaelekea na hiyo trend

Unajua mpaka wenger AKIONDOKA ndo watu watakuja KUFAHAMU umuhimu wake....consistency aliyoacha japokuwa alikuwa na bajeti KIDUCHU miaka kibao

TIME WILL tell....wenger out brigade wengi huwa ni emotional people hawafikirii mara mbili

NAWEZA SEMA....iko siku wenger atasepa na lau kama hawakujipanga kuweka MRITHI wa maana TUTAVURUGIKA zaidi ya Manure

Time will tell.....naona watu wanakuwa hawaoni mbali
 
Richard pamoja na kuheshimu mchango wako .Napenda kukufahamisha kwamba Wenger alipanga timu kwa wachezaji aliokuwa nao wakati huo.Responsbility ya wachezaji ni kufuata maelekezo ya Wenger. Football ni gemu ya makosa na linapotokea kosa ndipo goli linafungwa. Arsene Wenger ni bonge la kocha na makosa unayoyaeleza katika upangaji timu I beg to differ with due respect. Hakuna timu haifungwi. Wenger ame achieve kile ambacho kila kocha anakitamani, kuwa kocha pekee kwenye Premier league aliyeongoza timu ikawa unbeaten. Arsenal hii inahitaji wachezaji 2 at least kuipiku hiyo record.Nimeona timu ikiwa na George Graham na pia chini ya Bruce Rioch. Imepiga hatua kubwa sana.
 
kos-ritchie_3536023b.jpg

Arsenal VS Bournemouth

Uwanja: Emirates

Baada ya kufungwa na Southampton goli 4-0 Arsenal ndani ya masaa 48 wanawakaribisha timu ya Bournemouth uwanjani EMIRATES.

Ni mechi itakayotoa mwelekeo wa timu yetu ambayo inalisaka kombe la ligi kuu ya Uingereza ikiwa inapewa nafasi ya kulitwaa kombe hilo ililolipoteza zaidi ya miaka 10 ilopita.

Katika mchezo wa jana baadhi ya wachezaii walionekana wanahitaji kupumzishwa Joel Campbell, Mathieu Flamini na Mertesacker walionekana wapo hoi.

Tusisahau kwamba ni wachezaji hawahawa pamoja na wenzao ndio wameivusha timu yetu hadi kufikia hapo tulipo ikizingatiwa kuna majeruhi kama Alexis Sanchez, Santiago Cazorla na wengine.

Nafikiri meneja Arsene Wenger bado anataka asilimia 100 kutoka kwa dream first II yake na ambayo ni juzijuzi tu waliifunga Man City.

Lakini jana Theo Walcott alionekana amepotea, Olivier Giroud akawa peke yake kule mbele na Mesut Ozil kwa kuwa amekuwa mpikaji na mtengenezaji mipira mizuri na kutoa msaada wa ushambulizi, Southampton wakaja na wazo la kumzuia kabisa asifanye yote hayo

Arsenal wakawa wamebanwa na Victor Wanyama akawa amemzidi Aaron Ramsey kwa nguvu, Southampton walikuwa wakicheza kama wapo kwenye fainali!

Sasa kwenye mechi ya kesho ningekuwa Wenger basi, Mertesacker, Ramsey na wangeanzia kwenye bench na nafasi zao zikazibwa na Gabby Calum Chambers na OX Chamberlain.

Hivyo timu itakuwa na wachezaji wapya kistamina na hivyo kutokusimama na kukaribisha mashambulizi ya mara kwa mara.

Hivyo timu ingekuwa kama ifuatavyo:

Cech, Monreal, Berrelin, Gabby na Koscielny, katikati namba 6 Calum Chambers namba 8 Aaron Ramsey, Kulia Theo Walcott Kushoto Ox Chamberlain namba 10 Ozila na namba 9 ni Giroud.

Wachezaji wa akiba- Ospina, Gibbs, Mertesacker, Campbell, Iwobi na Reine Adelaide.

Ila kuendelea kuchezesha wachezaji ambao wamechoka bila kuwapumzisha hakutaisadia timu yetu na kelele za wale mashabiki uchwara za "Wenger Out", zitarudi maana sasa hivi wapo kimya na yule mjinga wao Pierce Morgan.

COYGs!

kaka nafkiri watu hawajifunzi yaliyowakuta Liverpool toka asepe keny Daglish mwaka 1989, hawajaona yanayowakuta manure toka 2013 Ferigie kasepa

With all Respect nasema KAMA hakuna Succession plan pale Arsenal wenger akiondoka inaweza KUWA MISERY ambayo hatujakaa kuona....

with all respect kwa huyu mzee ametupitisha kipindi kigumu sana akiwa na bajeti ya MBUZI akitafuta wachezaji wa mafungu kama Sylivester, Squilaqi,Djoruou, Almunia,Vela na bado anakupa TOP FOUR (ambayo wengine) kama Liverpool, spurs wamemwaga sana pesa hawaipati kila mwaka....

na Kuuza Nyota kila msimu....kuna watu wallahi wanazania ile ni Coincidence yaani babu alikuwa akifanya KUSUDI

Time will tell....Si ataondoka tutakuja kulia sana kama hawakujipanga

Piers morgan HAJUI CHOCHOTE yule ni Glory Hunter tena yumkini HAMPENDI wenger (bifu binafsi)
 
Richard pamoja na kuheshimu mchango wako .Napenda kukufahamisha kwamba Wenger alipanga timu kwa wachezaji aliokuwa nao wakati huo.Responsbility ya wachezaji ni kufuata maelekezo ya Wenger. Football ni gemu ya makosa na linapotokea kosa ndipo goli linafungwa. Arsene Wenger ni bonge la kocha na makosa unayoyaeleza katika upangaji timu I beg to differ with due respect. Hakuna timu haifungwi. Wenger ame achieve kile ambacho kila kocha anakitamani, kuwa kocha pekee kwenye Premier league aliyeongoza timu ikawa unbeaten. Arsenal hii inahitaji wachezaji 2 at least kuipiku hiyo record.

Arsene wenger nje ya hiyo Invicible squad

huwezi kufumba macho kuwa kakuta club ni ndogo ni ya 20 huko katika European Richest Football club....(saivi iko Top 10)

huwezi kufumba macho kuwa Arsenal walikuwa na TINY STADIUM kama uwanja wa taifa wa zamani na mawazo yake yamewasaidia kujanga NEW STADIUM na akabakia kipindi chote cha KUWA NA BAJETI MBUZI kwa sababu za madeni

Mashabiki what we see ni Results za uwanjani....mpira ni zaidi ya matokeo na wenger Ameachive sana

#inwengeritrust
 
Arsene wenger nje ya hiyo Invicible squad

huwezi kufumba macho kuwa kakuta club ni ndogo ni ya 20 huko katika European Richest Football club....(saivi iko Top 10) huwezi kufumba macho kuwa Arsenal walikuwa na TINY STADIUM kama uwanja wa taifa wa zamani na mawazo yake yamewasaidia kujanga NEW STADIUM na akabakia kipindi chote cha KUWA NA BAJETI MBUZI kwa sababu za madeni

Mashabiki what we see ni Results za uwanjani....mpira ni zaidi ya matokeo na wenger Ameachive sana

#inwengeritrust
Wenger ni bonge la kocha na kaisogeza Arsenal mbele, ila wakati anaichukua, BADO ILIKUWA NI TIMU KUBWA, walikuwa wa pili nafikiri kwa kuchukua vikombe vingi vya EPL, ambayo ilikuwa ikiitwa first division, 10 trophies to be precise, ni 1996 hiyo na ni liverpool pekee ndo walikuwa navyo 18. Manchester united walikuja kutupiku. Wenger kashinda EPL TITLES 3, sasa jumla ni 13, ya tatu nyuma ya Manu yenye 20 na liver yenye 18. Wakati anaikuta ilikuwa pia na Fa trophies, hivyo ilikuwa ni timu kubwa tayari, ingawa yeye kaifanyia revolution kubwa zaidi. Wenger atakumbukwa daima kwa kuweka msingi wa kuiwezesha timu kuwa na financial muscles kushindana ktk modern football!
P.S: Mafanikio hupimwa kwa utajiri wa thamani ya timu ktk pesa au vikombe ilivyoshinda?
 
Richard pamoja na kuheshimu mchango wako .Napenda kukufahamisha kwamba Wenger alipanga timu kwa wachezaji aliokuwa nao wakati huo.Responsbility ya wachezaji ni kufuata maelekezo ya Wenger. Football ni gemu ya makosa na linapotokea kosa ndipo goli linafungwa. Arsene Wenger ni bonge la kocha na makosa unayoyaeleza katika upangaji timu I beg to differ with due respect. Hakuna timu haifungwi. Wenger ame achieve kile ambacho kila kocha anakitamani, kuwa kocha pekee kwenye Premier league aliyeongoza timu ikawa unbeaten. Arsenal hii inahitaji wachezaji 2 at least kuipiku hiyo record.Nimeona timu ikiwa na George Graham na Pia chini ya Bruce Rioch. Imepiga hatua kubwa sana.

Mkuu tupo pamoja lakini mimi nipi kwenye kufanya rotation ya timu huku ukiwa na mechi tatu ndani ya wiki moja.

Arsenal walicheza vizuri na Man City na wakashinda ile mechi, mechi ilokuwa ikifuata ambayo wanafajamu
kuwa ni tricky ilikuwa hii ya Southampton na Bournemouth ni next.

Ukiwa meneja wa timu kama Arsenal unafahamu kwamba Southmapton watakuja kivipi sio, sasa wachezaji ambao walicheza na Man City si wote jana walikuwa wako sawa na hasa Flamini, sasa ni kwanini hakufanya usajili mwezi Julai.

Wenger anataka ku-prove watu wrong kwamba yupo sahihi kwenye suala la transfer policy lakini hafahamu kwamba ligi inabadilika kila mwaka si unaona Leicester inashika usukani? Kuna alefahamu kwamba hali itakuwa hivyo? au kuna alefahamu kwamba Chelsea itashika nafasi za chini kabisa kwenye ligi hii au Man Utd kupoteza mechi nne mfululizo.

Hivyo hii ilikuwa ni nafasi ya pekee kabisa kwa Wenger kuingia sokoni na kuibuka na DM na Mshambuliaji wa ziada maana mpaka sasa Danny Welbeck bado hawezi kurudi na Coquelin na Cazorla achilia mbali Jack Wilshere bado kurudi hadi mwezi wa pili au wa tatu.

Si watu wanalaumu na kupinga kila kitu ila wanaangalia facts za Arsenal kushindwa kuhimili ligi kila mwaka pale wanapofikia mwezi December, lakini mwaka huu kombe ni letu na ni sisi tu kulipoteza.
 
Wenger ni bonge la kocha na kaisogeza Arsenal mbele, ila wakati anaichukua, BADO ILIKUWA NI TIMU KUBWA, walikuwa wa pili nafikiri kwa kuchukua vikombe vingi vya EPL, ambayo ilikuwa ikiitwa first division, 10 trophies to be precise, ni 1996 hiyo na ni liverpool pekee ndo walikuwa navyo 18. Manchester united walikuja kutupiku. Wenger kashinda EPL TITLES 3, sasa jumla ni 13, ya tatu nyuma ya Manu yenye 20 na liver yenye 18. Wakati anaikuta ilikuwa pia na Fa trophies, hivyo ilikuwa ni timu kubwa tayari, ingawa yeye kaifanyia revolution kubwa zaidi. Wenger atakumbukwa daima kwa kuweka msingi wa kuiwezesha timu kuwa na financial muscles kushindana ktk modern football!
P.S: Mafanikio hupimwa kwa utajiri wa thamani ya timu ktk pesa au vikombe ilivyoshinda?

Mafanikio yanapimwa kwa Trophy ni kweli....ila Hii revolution tukubali na ku appreciate kuwa JAMAA kaua CV yake aliyoijenga alipotua kubeba makombe

kwa kuvumilia matusi, kejeli, kuchukuliwa na wachezaji wake nyota with all these years....

MAFANIKIO ya vilabu vyote yako nyuma ya Stability iliyo nyuma ya pesa....hakuna timu imefanikiwa bila pesa modern football

Respect to AW....mi naamini Umuhimu wake tutaujua After his departure sio saivi maana hatuelewi
 
gunners tunahitaji mabadiliko makubwa wenger apumzike pembeni aje kocha mwingine aendeleze pale mzee wetu alipoishia....apumzike mbona wakina fergie wamepumzika au anataka mpaka mashabiki wamwandikie mabango,huwez chukua ubingwa bila kuwa na depth ya kikos...mzee ameendeleza tabia ya ubahili huku akitegemea miujiza ya ubingwa mbele ya dm kama flamini,
 
Ni kweli itafika wakati LAZIMA tupate kocha mwingine, cha msingi ni yeye Wenger kuanza kuandaa msaidizi wake ila sio lazima awe 'stuborn' kama yeye!
 
Baba unaposema babu is not delivering unamanisha nin?

Maana ebu tuwe serious all these years (11 years) hukuwa unajua kuwa ilikuwa ni transition? with Tight financial restrictions?

ebu nambia kocha gani kwa Financial restrictions walizokuwa nazo arsenal na kulazimika kuuza key players wake ANGEKUPA HATA HIYO TOP FOUR?

mifano iko timu zimewekeza sana for years kama liverpool TOP FOUR kwao tu ni Mbinde, manure nae anaelekea na hiyo trend

Unajua mpaka wenger AKIONDOKA ndo watu watakuja KUFAHAMU umuhimu wake....consistency aliyoacha japokuwa alikuwa na bajeti KIDUCHU miaka kibao

TIME WILL tell....wenger out brigade wengi huwa ni emotional people hawafikirii mara mbili

NAWEZA SEMA....iko siku wenger atasepa na lau kama hawakujipanga kuweka MRITHI wa maana TUTAVURUGIKA zaidi ya Manure

Time will tell.....naona watu wanakuwa hawaoni mbali
Jirani tutake radhi hatujafikia sehemu hiyo ya kuwa sample space wenu tafadhali Jirani......

Watolee mfano kina Looserfool huko siyo sisi bana tafadhali jirani bana......Ila mhhh!!!! Mparanganyike mara ngapi 😀😀😀😀😀😀
 
Nyie ni benchmark asee...mshavurugika sana....mnaimba #LVGOUT mwaka jana ilikuwa #MOYESOUT afu mtani ndo miaka inakatikaga hivi hivi utashangaa 5 years imekata bado mko KAPA mara 10 years....

Sie hatujavurugika tushakaa sawia...Back to Back FA cups na mwaka huu EPL were are Two horse race with CITY

nyie mko wapi? we vepeee!!!

ila leo mshinde LVG abaki #LVGIN dua yangu isikike huyu babu abakie azidi kustawisha Philosophy yake pale
 
Babu yako keshajitoa jana asubuhi hajakuwepo mazoezini naona hata naye keshajikatia tamaa ....

Haya kila la heri mtani mimi nipo Nyuma Yako nakufukuzia taratibu angalia nisikupite tu,msimu huu bado...
 
Kweli mapenzi upofu aisee,

Point of correction: mwaka Jana Moyes alikua sociedad man u alikuwepo van gaal.

Yaani leo hii arse8 ndio amekuwa wa kumcheka man u? Kisa kuwa wa pili kwenye ligi? Unakumbuka 2007/08? Hadi February mpo kileleni kwa point tano, mbele mna RvP na adebayo, fabregas na flamin cm, rosicky na hleb wingers, mlikua na kelele zaidi ya sasa, alipoumia Eduardo tu ndio ukawa mwisho wenu.

Leo mpo nyuma ya Leicester kwa point mbili city mnamzidi point moja zile kelele zimerudi tena.

Man u haijafika hata nusu ya miaka mliokaa nyie bila kombe (9) lolote, mmeshaanza mbwembwe zenu,

time will tell.
 
Attachments

  • 1451296943622.jpg
    1451296943622.jpg
    64.1 KB · Views: 44
Kweli mapenzi upofu aisee,

Point of correction: mwaka Jana Moyes alikua sociedad man u alikuwepo van gaal.

Yaani leo hii arse8 ndio amekuwa wa kumcheka man u? Kisa kuwa wa pili kwenye ligi? Unakumbuka 2007/08? Hadi February mpo kileleni kwa point tano, mbele mna RvP na adebayo, fabregas na flamin cm, rosicky na hleb wingers, mlikua na kelele zaidi ya sasa, alipoumia Eduardo tu ndio ukawa mwisho wenu.

Leo mpo nyuma ya Leicester kwa point mbili city mnamzidi point moja zile kelele zimerudi tena.

Man u haijafika hata nusu ya miaka mliokaa nyie bila kombe (9) lolote, mmeshaanza mbwembwe zenu,

time will tell.

Moyes mmemtimu mwaka jana 2014 (simaanishi msimu uliopita)

asee Graph yako ILIKUWA kwenye Boom sasa lazima itiririkie kwenye Depression/crisis na inakuwaga hivi hivi miaka inakatika mna miaka mitatu inaelekea sasa (unajua hilo?)

utakuja hesabu 10 years ha ha ha ha empty handed dadeki

mtulie tu mtuache tupiganie ubingwa mwaka wetu huu

khe khe khe khe kheeeeeeee!!

tuna trend inayoonyesha improvement sio haba we have won TWO FA cups in two years in succession
 
Last edited:
Babu yako keshajitoa jana asubuhi hajakuwepo mazoezini naona hata naye keshajikatia tamaa ....

Haya kila la heri mtani mimi nipo Nyuma Yako nakufukuzia taratibu angalia nisikupite tu,msimu huu bado...

mashabiki wa mpira sie huwa ni stress tu za kufungwa....mkishinda leo, mkashinda against Spurs (hii game mnakaa sioni mnachomokaje)

mkamfunga Swansea MTASAAU yote

!!!
 
Moyes mmemtimu mwaka jana 2014 (simaanishi msimu uliopita)

asee Graph yako ILIKUWA kwenye Boom sasa lazima itiririkie kwenye Depression/crisis na inakuwaga hivi hivi miaka inakatika mna miaka mitatu inaelekea sasa (unajua hilo?)

utakuja hesabu 10 years ha ha ha ha empty handed dadeki

mtulie tu mtuache tupiganie ubingwa mwaka wetu huu

khe khe khe khe kheeeeeeee!!

tuna trend inayoonyesha improvement sio haba we have won TWO FA cups in two years in succession

Kombe la mbuzi hilo.......lol
 
Back
Top Bottom