Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

msaada plz eti kuna COYG na COYB ambayo inatmiwa na Chelsea maana kuna raia kanambia iyoinatmika na tm zote za London kuna ukweli hapo
 
msaada plz eti kuna COYG na COYB ambayo inatmiwa na Chelsea maana kuna raia kanambia iyoinatmika na tm zote za London kuna ukweli hapo

Achana na hako katimu kadogo, you can't buy class. COYG

''Chelsick's squad contains powerful guns for hire, just passing through... they are merely an upmarket version of floundering Aston Villa, Sunderland and Newcastle.''
 
it's now or never for arsenal to win the premier league. Wenger afanye juu chini kuimarisha kikosi January
 
2F78334200000578-0-Arsenal_right_back_Hector_Bellerin_relaxes_on_a_sofa_at_The_Grov-a-4_1450465624683.jpg


Hector bellerin ..... . the 21 year old right back .... . .

2F78320300000578-0-image-a-5_1450465629855.jpg


Moved to London from Barca at the age of 16

2F56D19500000578-0-image-a-7_1450465864485.jpg


Bellerin (centre), pictured against Aston Villa last weekend,
broke into the Arsenal team last season

2747628B00000578-0-image-a-30_1450466852743.jpg


Bellerin akimuweka kwapani Sterling ... .
 
it's now or never for arsenal to win the premier league. Wenger afanye juu chini kuimarisha kikosi January

Naamini msimu huu tunainua Kombe, kikosi kipo vizuri ni marekebisho madogo tu yanahitajika
 
Inasemekana ni pale alipomfukuza yule Doctor wa timu, kilikuwa kipenzi cha wachezaji!
 
Arsenal wakiwa wanajiandaa kwa mtanange wa kesho katika uwanja wake wa Emirates leo asubuhi wamefanya mazoezi laini na baadae wakaenda kupumzika.

Danny Welbeck hajaweza kuepuka vikwazo vya kupona majeraha yake lakini Mikael Arteta, Alexis Sanchez na Mesut Ozil watafanyiwa uchunguzi wa mwisho kabla ya majina ya kikosi cha kwanza na wale wa akiba kupelekwa kutolewa ifikapo kesho saa nane mchana.

Haya basi wakulu, tukutane hapo kesho mchana hapahapa tayari kabisa kuchangia maoni ya kabumbu hilo linalosubiriwa kwa hamu na ambalo linasemwa ndilo litakaloamua nani anakuwa bingwa.

Ila mimi niponipo najiandaa kuchangia maingizo ya pambano hilo kutokea uwanjani Emirates eneo la Ashburton Grove kaskazini mashariki mwa jiji la London.
 
Vijana wakipiga zoezi katika picha.

zp_201215training15_6162.jpg

Kipa Petr

zp_201215training3_6454.jpg


Berellin akionyesha jinsi ya kuondoa mpira wa hatari huku akiangaliwa kwa makini na Olivier Giroud, Theo Walcott, Ramsey na Ox.

zp_201215training6_1245.jpg

Joel Campbell akimwonyesha Nacho Monreal jinsi atakavyowachanganya mabeki wa Man City kesho.

zp_201215training7_6986.jpg

Theo Walcott na Mathiew Debuchy

zp_201215training8_419.jpg

Calum Chambers, Alex Oxlade Chamberlain na Debuchy kwa mbali

Walcott alichelewa kidogo kufika mazoezini hapa alikuwa akiwahi kuingia uwanjani London Colney.

NB:

Chanzo cha picha ni kutoka tovuti ya Arsenal.
 
Naamini msimu huu tunainua Kombe, kikosi kipo vizuri ni marekebisho madogo tu yanahitajika

Itapendeza kama tutaimarisha kikosi tupate backup ya Le Coq.
Wenger asi mess up, niko na gut feeling huu mwaka wetu!
 
Safi sana Richard lete maneno. Kesho tunawakalisha Mancs kama ada, utakuwa mpambano mkali sana lakini sina wasi wasi maana vijana wapo kwenye high spirits na wamejiandaa vya kutosha. Nategemea kuona kabumbu la uhakika, yaani lazima tuwawashie taa tu (Leicester) hii timu ya Tinker man. Ding ... Dong ... .... .. . COYG
 

Achana na hako katimu kadogo, you can't buy class. COYG

''Chelsick's squad contains powerful guns for hire, just passing through... they are merely an upmarket version of floundering Aston Villa, Sunderland and Newcastle.''

Katimu kadogo kenye uefa na Europa timu kubwa miaka kumi haijachukua EPL tehe tehe tehe COYG
 
Back
Top Bottom