Extra time .... .... .... .. huyu refa naye mshenzi. Tumetoka draw wakuu, we gave them a very soft goal .... .... .... .. with a heavy prize in injuries.
Extra time .... .... .... .. huyu refa naye mshenzi. Tumetoka draw wakuu, we gave them a very soft goal .... .... .... .. with a heavy prize in injuries.
Wacha maneno wewe Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sheria ya mtandao itakuhusu.....Extra time .... .... .... .. huyu refa naye mshenzi. Tumetoka draw wakuu, we gave them a very soft goal .... .... .... .. with a heavy prize in injuries.
60min Alexis hamstring .... .. off injured ..... ... Campbell in.
Point moja sio mbaya, ila management na hiki kikosi hakijasheheni winners, kidogo kama ni kushinda epl title tutahitaji msaada wa timu zingine zifungwe! Hatuna urgency, tunasubiri tu kama chansi itatokea badala ya kuwalazimisha wakosee tutumie makosa!
Anyway, ndo mpira huo point 2 toka kileleni, ila kiukweli, majeruhi na ratiba ya desemba na januari mwanzoni kazi tunayo!
Cha msingi nafasi ya nne TUSHAIKALIA.
ni vigezo vip wenger anavyotumia kumpanga giroud
Point moja sio mbaya, ila management na hiki kikosi hakijasheheni winners, kidogo kama ni kushinda epl title tutahitaji msaada wa timu zingine zifungwe! Hatuna urgency, tunasubiri tu kama chansi itatokea badala ya kuwalazimisha wakosee tutumie makosa!
Anyway, ndo mpira huo point 2 toka kileleni, ila kiukweli, majeruhi na ratiba ya desemba na januari mwanzoni kazi tunayo!
Cha msingi nafasi ya nne TUSHAIKALIA.
Wacha kupendelea weweee!! Mbona za Norwich wakiwafunga na kuwakosakosa hujaweka ?![]()
OG alifanyiwa kila aina ya fujo
lakini hakupata service ya uhakika ... .
![]()
Ozil akiweka chuma wavuni
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Rambo alikuwepo
![]()
Alexis kama kawa .... ..
![]()
Ozil akikabwa kwa makundi ..... ..
![]()
Carz akitoka kwenye mieleka iliyotawala ...
![]()
Ox alikuwepo .. .. .
![]()
Campbell akivutwa mkono .... .
![]()
Ozil akiatamiwa .. ..
![]()
Prof hana wasi wssi anafahamu bado point 72
za kugombania zipo
COYG