matokeo ya game yetu na zagreb ndo yataamua hatma yetu...
matokeo ya game yetu na zagreb ndo yataamua hatma yetu...
Arsenal ni baiskeli Ya miti
Cycle ya Arsenal Champions league inajulikana miaka yote,mkipita stage hii next stage mnakutana na Bayern/Barca/Madrid safari inafika mwisho
Duh nyie jamaa mna roho ngumu, bado tu mna matumaini??
ngoja tupite halafu utajua kuwa hiyo ndo cycle yetu au la...pia usipende kukariri miaka yote haifanani
matokeo ya game yetu na zagreb ndo yataamua hatma yetu...
Na key players wameanza kuumia,Kwa Arsenal mimi sijawahi kukosea kukariri
Hata mkishinda bado uhakika wa kuchomoka group stage utategemea matokeo yenu ya mechi ya mwisho, na matokeo ya timu nyingine.
sasa kama hujakariri, yan kwa jinsi unavyoona ni key players wanaanza kuumia wakati sisi tunaona wanaanza kurudi....
Nani aliyerudi? Coquilein ni mchezaji muhimu sana na ndio kaumia miezi 2,Hii December timu huwa zinacheza game 3 ndani ya week moja.Nani atacheza kama DM ?
Kazi ipo hapa...ila ngoja nikalale kila la kherin...
Nani aliyerudi? Coquilein ni mchezaji muhimu sana na ndio kaumia miezi 2,Hii December timu huwa zinacheza game 3 ndani ya week moja.Nani atacheza kama DM ?