Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,611
- 4,119
Spurs wanataka kutuharibia kicheko leo.
Washatuharibia eti!
Spurs wanataka kutuharibia kicheko leo.
Washatuharibia eti!
Hivi ina maana ombi langu limekataliwa
Kwikwiiii sio maombi yote yana baraka mbele zake ati!
Kwikwiiii sio maombi yote yana baraka mbele zake ati!
Ukicheza jmos halafu ukashinda unakuwa na amani kama nini,ona leo tunavyojiachia majumbani mwa watu kama kwetu vile....lol
Afadhali hatujafungwa. Tutarudi vizuri baada ya international gsmes na kuchukuwa usukani
![]()
![]()
15th award and counting .....
Arsenal beat Manre, Watford, Everton and Swansea City last month to climb up to second in the table behind leaders Manchester City on goal difference.