Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
NAONA MAGOL MA 5 YA MARTIAL.. 2 YA MATA... 1 LA DEPAY.. NA KWA MARA YA KWANZA BARSTIAN S.. ANATUPIA MBILI LEO... SASA JUMLISHA IDAD HAPO UTAJUA LEO MKUBWA NI MKUBWA TU... emirates ni shamba la bibi kila m2 anakuja kuchuma matunda hapo...
Kutesa kwa zamu lovito...Hongereeeeeni sanaaaaaaa Wacha 1 Eli79 rubaman Cardinal06 Juwaine #AFCfans......burudikeni na haka ka wimbo.....
......Tatu kidonda chako kwangu maradhiiiiiiiiiii......kwa Mahaba ulonipa Arsenal nimenogewaaaa vuguvugu patashika Ai ongeza kidogooo......lakini hazijafika 8.....
hongereeeeeni sanaaaaaaa wacha 1 eli79 rubaman cardinal06 juwaine #afcfans......burudikeni na haka ka wimbo.....
......tatu kidonda chako kwangu maradhiiiiiiiiiii......kwa mahaba ulonipa arsenal nimenogewaaaa vuguvugu patashika ai ongeza kidogooo......lakini hazijafika 8.....
Eti walisema Matta ni zaidi ya Ozil .dharau mbaya sana.
Eti walisema Matta ni zaidi ya Ozil .dharau mbaya sana.
Mwenyewe unajua hii haipo sahihi. Naona iliandikwa kabla ya mechi ya J2 goli na assist za Ozil havikuorodheshwa.. Hata hivyo nadhani ana more than 3 assists kabla ya mechi ya J2
​[video]http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3264614/Manchester-United-fan-Usain-Bolt-loses-bet-wear-Arsenal-shirt-forfeit.html#v-4541810941001[/video]
Watatusoma tu mwaka huu ... ..... Ding ... Dong.