Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika ni ya 83 arsenal bado wanaongoza 3-0
Mashabiki wa man u washaridhika na sasa kilichobaki naona wanashangilia pasi na chenga

Come on you Gunners
 
Kuifunga Manchester ni zaidi ya ushindi, hongereni sana arsenal......
 
DonDonald, Nzi, RRONDO, Belo, everlenk, cute b tukutane mazishini........
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hongereni Gooners...LvG kawapa game hii kwa kupanga 'vibabu' viwili dimba la kati kwenye game ambayo Morgan alistahili kuanza...
 
COYG....Hakika huu ushindi waweza kuwa turning point msimu huu...
 
Martial is missing the FBI is looking for the young kid..... Last time was seen in the Gabriel back pocket.
 
Kwa sisi wapenzi wa Arsenal tunaopenda kuangalia matokeo mtandaoni tuwapongeze ninyi mlioangalia. Aghalabu msimu huu ukawa mzuri kwetu.
 
Martial is missing the FBI is looking for the young kid..... Last time was seen in the Gabriel back pocket.

Hahahaaa

Mkuu kusema ukweli leo mmetupatia hasa first half

Ila sikubalini nawe kuwa Martial was missing.....he was the only player kwenye timu yangu niliyeona walau akiwa na mpira anafanya kitu kuisumbua defence yenu

Hongera sana kwa kufua macchozi baada ya kungoja muda mrefu
 
Ukiweka unazi pembeni...the kid is good...I mean really good...naamini unalijua hilo...

Kwa umri wake dogo ni mzuri NAKUBALI. Na akiendelea hivi atakuwa next Rooney wenu muda si mrefu sababu Rooney career yake inafikia ukingoni. Tusubiri tuone kama ata-accomplish it au atakuwa frustrated na performance kama ya leo.
 
Huyu Ozil pasi zake anazipiga kwa mikono Fa walichunguze hili za ki-DHL

halafu huyu walcott siku hizi ana akili zaidi

Huyu wa kuitwa paulista dogo Martial alihisi ni Nyoso

Kokolini ni dawa ya maralia sugu

yule wa kuvaa 33 naomba nimuite asante chelsea

Wenger bado ni profesa kweli

Halafu pale ni Emirates
 
Hahahaha Jumapili baada ya mechi tutasikia nyimbo za Wenger Out

Safi sana Olympiakos

siku hizi unatokea mkishinda au tukipigwa ubaya. Mama mdogo anakuweka busy Brussels. Kwa mwendo huu nakubai jumapili tunakuja kupigwa tena. Defending ilikuwa mbaya sana...

DonDonald leo umepotelea wapi? Nilikwambia huonekani hapa pindi mfungwapo..... Hahahahaha mbiu ya WENGER OUT unaisikia.....
 
Martial is missing the FBI is looking for the young kid..... Last time was seen in the Gabriel back pocket.

dah! ila huyu dogo tuweke ushabiki pembeni, ningefurahi kweli kama angekuwa wetu, ni mzuri sana, movements zake tu na yuko quick sana! Per alikuwa na wakatigumi ila sema Gabriel nae ni kama Kolsielny, yuko fast, dogo akigeuka Paulista yuko nae ila kwa dogo wa miaka 19, yuko very very good!
 
Back
Top Bottom