barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Huyu Ozil pasi zake anazipiga kwa mikono Fa walichunguze hili za ki-DHL
halafu huyu walcott siku hizi ana akili zaidi
Huyu wa kuitwa paulista dogo Martial alihisi ni Nyoso
Kokolini ni dawa ya maralia sugu
yule wa kuvaa 33 naomba nimuite asante chelsea
Wenger bado ni profesa kweli
Halafu pale ni Emirates
Aisee haujakosea, Walcott ameimprove sana, anakaba, anatoa pasi za mwisho kwa timing, anafunga, tuombe asipate majeruhi, akifululiza mecho kadhaa atazoea zaidi.
Na Ramsey, yuko poa sana ila naomba nae ule uprolific goals scoring wake urudi! Cech kweli tumepata kipa.