Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona baada ya mchawi Klopp kila mtu hapa sasa anayaogopa Majogoo rubaman Wacha 1 BAK
Ubingwa mwaka huu ni wetu
 
Last edited by a moderator:
Naona baada ya mchawi Klopp kila mtu hapa sasa anayaogopa Majogoo rubaman Wacha 1 BAK
Ubingwa mwaka huu ni wetu

Labda mujaribu next season maana kwa magarasa yale mtampa lawama JK bure,pale lazima lipite fagio la chuma na mkifanya mchezo kuna mshenga ataleta barua kwa fundi wenu Coutinho veri suuuuni.
 
Last edited by a moderator:
Labda mujaribu next season maana kwa magarasa yale mtampa lawama JK bure,pale lazima lipite fagio la chuma na mkifanya mchezo kuna mshenga ataleta barua kwa fundi wenu Coutinho veri suuuuni.

Kaikuta ligi mbichi na anayeongoza kazidi single digit tu!JK anatupa ubingwa
 
Top earning PL managers:

1. Mourinho €13.6m
2. Klopp €10m
3. Van Gaal €9.5m
4. Wenger €9.35m

Wenger really loves that 4th position😀😀😀
 
Kaikuta ligi mbichi na anayeongoza kazidi single digit tu!JK anatupa ubingwa
Mnataka kumpa lawama tu JK wenu, itamchukua muda kurekebisha timu na wachezaji.

Kuna uwezekano bingwa akawa Leicester, West Ham au Crystal Palace..kwa mbali Man City, Arsenal na Man United,

Chelsea,Tottenham na Liverpool zikibahatisha zitacheza Europa League. lol
 
Kaikuta ligi mbichi na anayeongoza kazidi single digit tu!JK anatupa ubingwa

Yeap...!ligi mbichi na nakubali uwezo wa JK anaweza kuwafanya wachezaji wa kawaida wakapata matokeo chanya ila kwa Liva hii hapana mko kwenye crisiss labda uniambie ndoto ya top four ila sio kunyanyua kwapa,niwatakie kila la heri lakini.
 
2D3828EA00000578-3265808-image-a-78_1444354164523.jpg


Habari kutoka Chile zinachema ati Alexis bado hajapata nafuu
kwenye .... groin ooops tangu alipocheza na Manure .... .. .
 
2D3711EA00000578-0-image-a-57_1444350903137.jpg


Alexis hakucheza mechi na Brazil ambao walipigwa 2 kwa nunge .... ..
 
2D38188400000578-3265808-image-a-65_1444352638766.jpg


Maumivui ya Moureen bado yanaendelea khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
2D49584C00000578-0-image-a-1_1444644851980.jpg


Kuna kajamaa kalitaka kumnyatia Alexis Prof kashituka
Chacha Alexis atakuwa top paid player .... ... kwa Gunners ......COYG
 
2D18A27000000578-0-image-a-8_1444645268557.jpg


Monreal mkataba wa 3yrs .... .. ...
Alimkausha huyu Manure product
 
Ramsey was on fire, Giroud on target, Alexis unstoppable, Chamberlain showing that so much is to come, Walcott insatiable, Ozil showing mouthwatering perfomance and vital assists. What an international break! Am feeling very sorry for our next opponent this weekend. COYG!
 
gun__1444729362_Unknown-7.jpeg

Ox on international duty ... ...

gun__1444808397_GettyImages-491897214.jpg

Alexis on duty as well ..... ..... ....​

gun__1444548888_1_711x400.jpg

Rambo started scoring .... ......​

gun__1444463461_Unknown-2.jpeg


Ding ... .... Dong
 
Ozil kaweka record Germany huko hadi arsenal kaiacha mbali anaongoza Twitter Germany nzima kisha neur kwa mbaali 10m followers on Twitter new record for him and Germany
 
Back
Top Bottom