Leo yatakuwa mengi hapa...na Morinyo alivyo na hasira na majeruhi ya Premier League
Kwa hiyo?
Siangalii mpira. RED ilikuwaje,Goli pia? Naona wanasema FK iliyozalisha goli haikuwa sahihi..Mike Dean na gundu lake kwetu linasababisha maovu
Alex Oxlade Chamberlain anaingia badala ya Alexis Sanchez.
Sanasana itabidi Arsenal wahakikishe hawafungwi na wanatoa sare mechi hii kama wataongeza nguvu ya mashambulizi.