everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Baada ya timu za Manchester kuaibisha, kesho ni zamu ya timu za london kuonyesha uwezo wao ndani ya UCL.
Kila la heri mabingwa wetu wa EPL na FA....
Baada ya timu za Manchester kuaibisha, kesho ni zamu ya timu za london kuonyesha uwezo wao ndani ya UCL.
Kila la heri mabingwa wetu wa EPL na FA....
pole yako ww pia kw maswahibu yaliyokukuta jana...
Habari Chifu...Arsenal wamevalia jezi zao nyekundu na kaputura nyeupe pamoja na soksi nyeupe huku Dinamo Zagreb wakiwa na jazi na kaputura za rangi ya bluu iloiva.
Dakika inakwenda ya 18
Mabao ni 0-0
Habari Chifu...
Msaada wa Live streaming mkuu